Watawala wetu, tupeni "updates" ya ndege yetu iliyokamatwa huko Canada

Watawala wetu, tupeni "updates" ya ndege yetu iliyokamatwa huko Canada

Wako bize na CHADEMA kwanza
Huko kazi ilishamalizwa long time Mkuu. Wameshafanikiwa kumrudisha pandikizi lao kwenye uwenyekiti. Dili kama za 2015 zitaendelea kama kawa. Next year sijui tutauziwa Membe?
 
Dunia ya kwanza hakunaga "kanyagakanyaga" ya mihimili wenza; kwa hiyo wao hawaogopi tashwishi na ngonjera za kinagaubaga!
Wewe humheshimu hata porofesa????
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16]
 
  • Thanks
Reactions: MTK
Mambo yapo kimya....nafikiri serikali imeelewa namna ya kudeal na issue sensitive kama hizi. Sio kujibu kila hoja inayotolewa na sisi wachangia kodi
 
Tunataka tuone ile jeuri ya Waziri wetu wa Katiba, Profesa Kabidi, ya kudai kuwa amemuita Balozi wao na kumkemea vikali, angeendelea kutupa "updates" baada ya kumkemea Balozi wao, nini kimetokea, je ndege yetu tumeigomboa??
Unanifanya niikumbuke ile picha ya yule mama Balozi "aliyekaripiwa" Nakumbuka kama Balozi ndiye 'aliyekaripia'!
 
Back
Top Bottom