Kwani watakao angalia tu ni watanzania?
Tanzania Tupo zaidi ya Milioni 60
Kenya Milioni 53.7
Uganda Milioni 45
Rwanda Milioni 12.95
Burundi Milioni 11.89
Sudan Milioni 11.9
DRC ni Milioni 90
Mozambique ni Milioni 31.26
Commoro ni Milioni 870,000
Niger kule ni Milioni 24.21
Moroko
Diaspora
Jumlisha na nchi ya Malawi, Zambia ,Zimbabwe, Ghana , Senegal, south Africa ambao watakuwa interested kuifatilia mechi ya simba, ukijumlisha na umaarufu walio nao Simba.
Kumbuka Africa Ina watu bilioni 1.2, tuambie kwa nini unaona ngumu idadi hiyo kufikiwa