Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 54,894
- 64,043
MkuuMil 600 wamuangalie Kibu na Mzamiru [emoji1]
Meza Mate Ufurahie Ushindi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MkuuMil 600 wamuangalie Kibu na Mzamiru [emoji1]
Population hii umetoa vitoto vichanga vinavyo nyonya, vizee vya vijijini vya kike na kiume visivyojua hata habari ya mpira, na na na na...?Kwani watakao angalia tu ni watanzania?
Tanzania Tupo zaidi ya Milioni 60
Kenya Milioni 53.7
Uganda Milioni 45
Rwanda Milioni 12.95
Burundi Milioni 11.89
Sudan Milioni 11.9
DRC ni Milioni 90
Mozambique ni Milioni 31.26
Commoro ni Milioni 870,000
Niger kule ni Milioni 24.21
Moroko
Diaspora
Jumlisha na nchi ya Malawi, Zambia ,Zimbabwe, Ghana , Senegal, south Africa ambao watakuwa interested kuifatilia mechi ya simba, ukijumlisha na umaarufu walio nao Simba.
Kumbuka Africa Ina watu bilioni 1.2, tuambie kwa nini unaona ngumu idadi hiyo kufikiwa