Wateja wa CRDB hali ni tete, miamala mingi haieleweki

Subiri watoe tangazo la Benki kufilisika ndio mtajua hamjui,
Sheria ya Benki kuu inasema benki ikifilisika mteja atalipwa kiasi kisichozidi milioni 2 hata kama ulikuwa unamiliki mabilioni.
 
Subiri watoe tangazo la Benki kufilisika nd
Sheria ya Benki kuu inasema benki ikifilisika mteja atalipwa kiasi kisichozidi milioni 2 hata kama ulikuwa unamiliki mabilioni.
Huo utakuwa wizi...wa Mchana. Na hapa ndipo itakapooneka nani katengeneza tatizo na kisha alitatue ajizolee sifa!!!
 
Halafu kweli toka dada wa taifa aiweke ile picha ya mabilioni majuzi ile ndio mauza uza yameanza.....toka jumamosi nakula ngumi jamani kila mtu ukimdai kiteteo kimekuwa CRDB na huna la kumfanya
Wengine hata hawana account huko basi tu wamepata pa kujitetea..!!

Halafu nimekumbuka hivi ulisema unauza nini kkoo??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ