Wateja wa CRDB hali ni tete, miamala mingi haieleweki

Bora hiyo mimi nimekuta hela yangu kiasi kikubwa hakionekani na hakuna muamala. Nasubiria wafanye reconciliation. Wengine ni voda pia wamechanganyikiwa sana. Nadhani BOT inabiti iongeze uangalizi
 
Subiri watoe tangazo la Benki kufilisika ndio mtajua hamjui,
Sheria ya Benki kuu inasema benki ikifilisika mteja atalipwa kiasi kisichozidi milioni 2 hata kama ulikuwa unamiliki mabilioni.
Kkmq sababu za kufilisika mbona hazipo btw kwakuwa serikali Ina hisa basi yote yanawezekana maana alisikika akisema kuleni kulingana na urefu wa kamba zenu
 
Mifumo tuu haijatengemaa mkuu kua mpole
 
SIo matengenezo tena, sio subiria hadi september 08.09 2025
Kwa sasa varanguti, purukushani, vangwala vangwala na hakuna maelezo wala usaidizi wa kueleka.
Tumeshindwa kuendelea na huduma wablnakuwekea option useme SAWA Kwa lazima. Dakika chache baadae inakuruhusu utizame salio lako linasoma zero (sifuri) kabisa. Utajua nini maana ya ile SAWA waliolazimisha pale useme SAWA, SAWA - SAWA. SAWA wakuu.
 
Samia infrastructure Bond imeishia wapi? Watu wameliwa pesa zao tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…