Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,410
- 114,823
Na ushaanza ota mvi 😂Si ndio🤣
Same to me mtu katoa simbanking nimeenda ATM hela imegoma kutoa halafu yeye kakatwa kule. Hapa hanielewi ninavyomwambia sijatoa hela na ninaonekana mwizi sasa. 😒😒😒😒Nimetoa hela ATM simbaking hela imekatwa kwenye ATM inaniambia hamna mtandao,
Nachanganyikiwa sio mchezo mda wa kuanza kuitwa tapeli.
Simu ukipiga wanakata sms hawajibu
Acha kabisa🙆♂️Na ushaanza ota mvi 😂
Pole sanaAcha kabisa🙆♂️
Hii sheria mbaya sana.Subiri watoe tangazo la Benki kufilisika ndio mtajua hamjui,
Sheria ya Benki kuu inasema benki ikifilisika mteja atalipwa kiasi kisichozidi milioni 2 hata kama ulikuwa unamiliki mabilioni.
Ni mbaya ila ndio hivyo hakuna namnaHii sheria mbaya sana.
Sijapoa.Pole sana
Tafuta barafuSijapoa.
Sikuiona hii jamani.....sio kariakoo ni mbezi magufuli nauza nguo za kike jeans, tops, na night dressesWengine hata hawana account huko basi tu wamepata pa kujitetea..!!
Halafu nimekumbuka hivi ulisema unauza nini kkoo??
Niacheeee🤣Tafuta barafu
ile sio benki tena ni jumba la wizi🤣🤣Hawa ni wezi Toka majuzi wamenifanya nimeshinda njaa wana wiki sasa mifumo Yao imekuwa mibovu sana
Ya muda gani?Wapo kwenye marekebisho!
Manager wetu sisi tangu juzi ameingia ofisini hoja yake ni moja tu, kufungua A/C kwenye benki nyingine isiyo ya Kitanzania...means not even NMB🤣........SO contract na CRDB inakomea hapoHivi wanaoenda Bank kabisa wanaambiwaje maana niliamisha million moja kutoka UTT kwenda CRDB mpaka leo haijafika nimekuja kuangalia balance ya mkopo naona wameikata yote kulipa deni ambalo installment ya mwezi huu nishalipa.
Hizi Local banks ndio matatizoHivi bado kuna watu mnatunza pesa BANK? Tena hizi za Bongo?!
Si heri hata muwekeze kwenye crypto accounts au tafuteni namna ingine ya kutunza pesa zenu mie bank nishaacha kuweka hela miaka huwa natumia kufanyia manunuzi tu online basi naeka kiwangu husika then nikimaliza manunuzi kwisha habari, sinaga mazoea nao toka wanifanye mbaya na pesa zangu...
Utafute na hela dipresheni is realNiacheeee🤣
Ndo nazitafutia huko kausha damu🤣🤣Utafute na hela dipresheni is real