Watekaji kihalisia wamezidi nguvu jeshi na Polisi iliyozubaa

Watekaji kihalisia wamezidi nguvu jeshi na Polisi iliyozubaa

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
Watekaji kihalisia wamezidi nguvu jeshi na Polisi iliyo zubaa. Yaani kama huwezi kulinda watu na ndiyo kazi yako hata kama una ndege ya kivita kama ndugu yangu anatekwa na watekwaji ambao wanajulikana hawafanywi kitu maana yake majeshi yetu sasa hayana maana.

Haki zetu zimebaki kwa nguvu zetu wenyewe kama wakati wa wakoloni.
 
Mkuu napata shida namna unavyowazaga. Nani kakuambia watekaji wamezidi nguvu jeshi na polisi? Unajua hao watekaji wanatokea wapi? Unahisi hao watekaji ni panya road au vibaka tu wa mtaani? Waliowahi kutekwa walishaeleza watekaji wanapotokea
 
Wamezidiwa vipi nguvu na wakati baadhi yao wanatoka humo humo na wengine wanatoka kwenye vyombo vingine nyeti!
 
Back
Top Bottom