Watekaji wanamharibia Rais Samia pamoja na kazi hizo nzuri anazozifanya

Ameagiza Uchunguzi Tulieni msijifanye mnamfundisha kazi.
 
Wanamuharibiaje wakati ndie anayewatuma? Sijukua Wazanzibar wana roho ya ukatili kiasi hiki
 
By virtue of reasoning, kama unasema watekaji wanaharibu, then unakubali kuwepo kwa huo mbadala ambao unasema haupo.
 
Akili zako ni mgando.
Lazima CCM ibadilike.
ANC, KANU,ZANU PF, n.k vimebaki historia.
 
Watu wanakufa, wanatekwa, wanapotezwa yeye anasema ni drama. Hamna uhalifu wa MTU kutekwa kitaasisi ambao jimama haujui.
Japokuwa bado sijajua bayana hiyo kampeni ya Samia Must Go itafanyikaje, lakini Nina uhakika kabisa kwamba hata kama Rais Samia ataamua kuachia ngazi leo hii bado vitendo viovu vya utekaji Watu, utesaji na Mauaji vitaendelea kuwepo. Kwa jinsi ninavyofahamu, kiini Cha kuwepo kwa matatizo haya siyo Samia, Bali chanzo halisi Cha kuwepo kwa matatizo haya ni kutokana na kuwepo kwa Katiba ya nchi ambayo ni mbaya sana, pamoja na Sheria zingine ambazo pia ni mbaya au Sheria kandamizi,
Hivyo basi, kitu sahihi kabisa kinachopaswa kuondoka hapa nchini Tanzania ni Katiba iliyopo pamoja na Sheria kandamizi zilizopo. Katiba iliyopo ikiondoka, na Sheria kandamizi zilizopo zikiondoka, automatically hata mamlaka ya kuteka Watu waliyonayo hao Watekaji pia yataondoka, hatimaye sasa Tanzania itakuwa ni mahali salama na pazuri pa kuishi, Wananchi wote wa nchi hii ya Tanzania tutakuwa tumejikomboa kutoka Jehanamu tulipo hivi sasa na kwenda peponi katika nchi ya ahadi ya asali na maziwa.
 
Hivi katiba mpya inazuia vipi mauaji?
Kwasasa hamasa inayotolewa kuhusu utekaji na mauaji imeanza kuleta madhara kwa mfano Yaliyotokea Geita eti wananchi wenye hasira wanataka wapewe watuhumiwa wanaohisiwa kwamba wameteka watoto wakabidhiwe kwa wananchi ili wawauwe!!
Kuna mahubiri ya hawa washirikina wanaovaa mwamvuli wa uchungaji na kueneza chuki bila ya ushahidi wameanza kufanikiwa lakini dhambi hii haita waacha salama.

Wanainchi wenzangu kipindi hiki ndiyo kipindi pekee kinacho hitaji busara kubwa vinginevyo tutatoa faida kwa shetani na watu wake ambao nia yao ni kuiondoa Serikali iliyopo kwa kutumia hila na uzandiki ili tu waweze kukidhi maslahi yao. Hawa ninawafananisha na nyoka anaye muua ng'ombe wakati hawezi kumla.

Chuki zinazojengwa kwamba watekaji na wauaji ni serikali zinatoa fursa kwa makundi yenye chuki na ugomvi kutumia upofu huo ili kutekeleza maovu yao nasi hatuna uwezo wa kutafakali kwasababu ya kuwaamini hawa wahubiri na wanasiasa wenye chuki. Hivi hatujiulizi chanzo cha mtu kutekwa na kuuwawa? Hivi combo cha dola kina mbinu dhaifu za kuteka na kuua kama hivi? LEO ukiuwa adui yako unaipakazia Serikali na u ABAKI huru.

Tukilegea machafuko yanaweza kuingia na hakuna atakaye pona na mifano ipo katika nchi nyingi sana ukichukua nchi kwa maandamano lazima dhambi hiyo ikurudie na utafanyiwa hivyohivyo.Ushahidi wa kusikia haujawahi kuwa na mafanio popote ni wakati muafaka wa kukaa chini na kutafuta ufumbuzi wa matatizo yanayotukabili kwa kutumia njia sahihi tuondoe fikra za kuwategemea wazungu watatumaliza maana wameanza kuwataja Scotland yard wamesahau kwamba waliwahi kuitwa kwa jirani zetu hapo mpaka leo hatujasikia majibu yoyote.
 
Yes
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…