N NIMEONA JF-Expert Member Joined Aug 4, 2019 Posts 3,862 Reaction score 5,693 Oct 25, 2021 Thread starter #201 mr_politician said: kwa viwango vinavyo itajika na serikali, io pesa ni ndogo, ila kwa kujenga jenga tuu, ili kuzuia wanafunzi wasilowe mvua, io pesa inaweza tosha jenga ilo darasa moja.. Click to expand... Aisee, ndo mara nyingi kinachofanyika
mr_politician said: kwa viwango vinavyo itajika na serikali, io pesa ni ndogo, ila kwa kujenga jenga tuu, ili kuzuia wanafunzi wasilowe mvua, io pesa inaweza tosha jenga ilo darasa moja.. Click to expand... Aisee, ndo mara nyingi kinachofanyika
K katitu JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 3,180 Reaction score 3,295 Oct 25, 2021 #202 Mgibeon said: Ktk watumishi wote wa serikali walimu mnanyanyasika Sana Aisee... Kihalali kabisa walimu mlitakiwa muishi vizuri kuliko watumishi wote serikali.. Mungu awape nguvu. Click to expand... waache wanyanyasike sababu wana viherehere sana.si ndo wanaosimamia uchaguzi hao ngoja nao kibao kiwabadilikie.
Mgibeon said: Ktk watumishi wote wa serikali walimu mnanyanyasika Sana Aisee... Kihalali kabisa walimu mlitakiwa muishi vizuri kuliko watumishi wote serikali.. Mungu awape nguvu. Click to expand... waache wanyanyasike sababu wana viherehere sana.si ndo wanaosimamia uchaguzi hao ngoja nao kibao kiwabadilikie.