Mkuu leta mchanganuo wako kama mimi hapa (Tofali 500 x 1200 = 600,000, mawe lori 5 x 120,000 = 600,000, nondo 30 x 22,000 = 660,000, bati 40 x 30,000 = 1,200,000, cement 50 x 17,000 = 850,000, mchanga lori 5 x 100,000 = 500,000, misumari 20kgs x 6,000 = 120,000, fundi 1,500,000, mlango 200,000, madirisha 5 x 150,000= 750,000, maji 100,000, kokoto 300,000, vioo na ufundi 300,000, rangi na ufundi 500,000, nauli vifaa 100,000 dharura 1,000,000 jumla 9,280,00 na chenchi inabaki mkuu) acheni wizi wa mali za umma tuwe wazalendo