#COVID19 Watendaji na walimu wakuu wanavyoenda kuteseka na fedha za COVID‐19 za IMF

#COVID19 Watendaji na walimu wakuu wanavyoenda kuteseka na fedha za COVID‐19 za IMF

Hujui kitu wewe,kwamba darasa ni kusimamisha BOMA basi? Unajua hata bei ya mlango ulipi hapo au unaropoka? Unajua hata bei za mbao treated za kuezekea hilo darasa?
Serikali si ina misitu huko kila kona iweje ikanunue mbao tena badala ya kuchukuwa chainsaw na kukata hiyo miti tupate mbao tujenge shule

Kwani serikali inashindwa nini hasa kuwa na kiwanda chake cha cement?
 
Ml 20 darasa 1 mbona nyingi sana

Upumbavu mtupu na kutupotezea muda bila sababu

Milioni 20 najenga madarasa matano na hela inabaki
Tufahamiane wewe itakuwa utajenga mabanda co madarasa kwa hizo hesabu zako
 
Serikali si ina misitu huko kila kona iweje ikanunue mbao tena badala ya kuchukuwa chainsaw na kukata hiyo miti tupate mbao tujenge shule

Kwani serikali inashindwa nini hasa kuwa na kiwanda chake cha cement?
Wapi ambako ina misitu kila Kona? Kwamba hiyo misitu ipo kwa ajili ya kujiendesha kwa hasara? Kwamba mtu wa kakonko asubirie Lori la mbao kutoka Sao Hill? Acha ujinga
 
Tufahamiane wewe itakuwa utajenga mabanda co madarasa kwa hizo hesabu zako
Peleka huko ujinga wako

Mmejaa wizi mtupu

Kijijini huko tofali ni za udongo na wanafyatua wanafunzi wenyewe
 
Mkuu leta mchanganuo wako kama mimi hapa (Tofali 500 x 1200 = 600,000, mawe lori 5 x 120,000 = 600,000, nondo 30 x 22,000 = 660,000, bati 40 x 30,000 = 1,200,000, cement 50 x 17,000 = 850,000, mchanga lori 5 x 100,000 = 500,000, misumari 20kgs x 6,000 = 120,000, fundi 1,500,000, mlango 200,000, madirisha 5 x 150,000= 750,000, maji 100,000, kokoto 300,000, vioo na ufundi 300,000, rangi na ufundi 500,000, nauli vifaa 100,000 dharura 1,000,000 jumla 9,280,00 na chenchi inabaki mkuu) acheni wizi wa inmali za umma tuwe wazalendo
Imebidi nikucheke kwa dharau,eti Lori 5 ,maji 100,000 ,nondo 22,000?

Unachekesha Sana wewe ndugu,kwamba hapo ndio umejenga tayari jengo la viwango vya kiserikali? Pole Sana ..Kwa Taarifa yako mondo ni 26,000 ,,saruji 18,000-19,000,,eti mlango 200,000 😝😝,,mtaani tuu mlango complete miti pori ni 400,000 sembuse wa serikali?

Naongea na jitu halijui kitu ngoja nikuache na kukupuuza.

Kwa ujenzi huo kajengee mabanda yako sio majengo ya serikali yanayohulitaji safety kwa vile ni public
 
Mnashindwa kuwapa kazi makandarasi ambao watawapa makadirio ya thamani la jengo kama mnavyotaka liwe, maenda kuangushia walimu jumba bovu........CWT kataeni huu upuuzi, uhandisi majengo siyo kazi ya walimu. Halafu inawezekana vipi mil. 20 ijenge darasa hapa Dar na ijenge darasa la aina hiyo hiyo kule kakonko, ina maana bei na upatikanaji wa material upo uniform?
 
Wapi ambako ina misitu kila Kona? Kwamba hiyo misitu ipo kwa ajili ya kujiendesha kwa hasara? Kwamba mtu wa kakonko asubirie Lori la mbao kutoka Sao Hill? Acha ujinga
Ukitoka km 300 tu kutoka Dar Es Salaam kila upande ni misitu tu

Wizi mtupu wa mali za umma
 
Ml 20 darasa 1 mbona nyingi sana

Upumbavu mtupu na kutupotezea muda bila sababu

Milioni 20 najenga madarasa matano na hela inabakia
Acha kudanganya watu mkuu,labda ujenge madrasa ya watoto la sio darasa
 
Imebidi nikucheke kwa dharau,eti Lori 5 ,maji 100,000 ,nondo 22,000?

Unachekesha Sana wewe ndugu,kwamba hapo ndio umejenga tayari jengo la viwango vya kiserikali? Pole Sana ..Kwa Taarifa yako mondo ni 26,000 ,,saruji 18,000-19,000,,eti mlango 200,000 😝😝,,mtaani tuu mlango complete miti pori ni 400,000 sembuse wa serikali?

Naongea na jitu halijui kitu ngoja nikuache na kukupuuza.

Kwa ujenzi huo kajengee mabanda yako sio majengo ya serikali yanayohulitaji safety kwa vile ni public
Acha wizi mkuu, maji hata laki haifiki shule si ina maji, hapo nimeongelea bill nzima ya shule kwa mwezi, nina uzoefu mkuu na haya mambo
 
Walimu bhana mnapata tabu sn, mtu wa kwanza kujua kusoma na kuandika alifundishwa na nani?
Wewe ndo huyo mtu wa kwanza kujua kusoma na kuandika ambaye hukufundishwa na mtu?

Unavyotoa lugha za kejeli unafaidika nini?

Au kuita walimu wajinga kunakufanya wewe uwe mjanja?

Kwa ushauri tu huo ni utoto, wa kutafuta cheap popularity huku jf ambayo haikusaidii kwa lolote kwenye maisha yako. Uwe na siku njema mkuu Babati uliye mjanja na IQ kubwa plus div 1
 
Back
Top Bottom