#COVID19 Watendaji na walimu wakuu wanavyoenda kuteseka na fedha za COVID‐19 za IMF

Hivi humu hakuna mhandisi akashusha BOQ za darasa moja kisha akatoa tena BOQ za vyumba viwili vilivyo katika foundation moja nikimaanisha kuta za nje nne zilizogawanywa katikati kutoa vyumba viwili? Ili aidha malalamiko yasikilizwe au wabanwe pesa ipunguzwe? BOQ ibase kwenye mkoa unaojenga kwa tofali za udongo kama Njombe na tofali za cement na mchanga kama Dodoma. Ili tusilaumiane bure.
Tupo Sana na hizo pesa hazitoshi hata kidogo,darasa standards la viwango wanavyotaka ni min.mil.25-30 na bweni ni mil.90-120
 
Tofali 500 zinatosha hasa kama msingi ni wa mawe. Sababu ni hall na sehemu kubwa ni madirisha na mlango

Hao ni wezi tu wa kodi za watu

Kuchimba msingi hata wanafunzi wanaweza kuchimba
Good msingi hata laki moja hauzidi ambao unakuwa kwenye gharama za fundi, watu wamezoea kuiba mali za umma
 
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania

Madame Samia Suluhu Hassan
Kasema Wazi Wazi Pesa Hiyo Ni Ya Moto
Ukijichanganya Utaona Kilichomtoa Kanga Manyoya
Hii kauli kwangu ni ya ajabu,hakuna pesa ya serikali ya kuchezea sio tuu hiyo..Mbona pesa zilizotengwa kwa Kazi mbalimbali ni nyingi kuliko hii?

Kwamba hii ni ya moto ila zingine ruksa kuzichezea au
 
Good msingi hata laki moja hauzidi ambao unakuwa kwenye gharama za fundi, watu wamezoea kuiba mali za umma
Wanawaza kuiba tu ndiyo maana watu wengi siku hizi hawaoni umhimu wa kulipa kodi

Kijijini kwetu tukiwa wanafunzi tofali tumefyatua wenyewe, msingi tunachimba wenyewe wanafunzi
 
Hongereni mkuu tuachane na haya majizi
 
Good msingi hata laki moja hauzidi ambao unakuwa kwenye gharama za fundi, watu wamezoea kuiba mali za umma
Kama unajenga ki layman kama unavyojenga Banda lako hizo pesa zinatosha na chenji inabaki maana hapo utaweka ratio isiyo standard,utaweka nondo 2 au 3,, utajenga Jenga ilimradi nk hapo inatosha Sana.

Ila sasa ukitaka kujenga kama michoro inavyotaka yaani ufuate standards za ujenzi hakuna pesa hapo,majengo ya serikali huwa yanatumika pia kuhifadhi watu kipindi cha maafa kwa sababu yanatakiwa kuhimili vishindo vya majanga.
 
Darasa moja haliwezi kuzidi 12M zaidi ya hapo ni wizi wa fedha za umma
Hujui kitu wewe,kwamba darasa ni kusimamisha BOMA basi? Unajua hata bei ya mlango ulipi hapo au unaropoka? Unajua hata bei za mbao treated za kuezekea hilo darasa?
 
Kama unajenga ki layman kama unavyojenga Banda lako hizo pesa zinatosha na chenji inabaki maana hapo utaweka ratio isiyo standard,utaweka nondo 2 au 3,, utajenga Jenga ilimradi nk hapo inatosha Sana.

Ila sasa ukitaka kujenga kama michoro inavyotaka yaani ufuate standards za ujenzi hakuna pesa hapo,majengo ya serikali huwa yanatumika pia kuhifadhi watu kipindi cha maafa kwa sababu yanatakiwa kuhimili vishindo vya majanga.
Majengo ya serikali ipi? hatuyaoni ambayo ya expansion joint kabla hata hajaanza kutumika? hahahaha kawadanganye wapuuzi wenzako, BOQ zenu ni wizi mtupu
 
Tofali 500 zinatosha hasa kama msingi ni wa mawe. Sababu ni hall na sehemu kubwa ni madirisha na mlango

Hao ni wezi tu wa kodi za watu

Kuchimba msingi hata wanafunzi wanaweza kuchimba
Kuandika nibrahisi sababu hujawahi hata kujenga,kama unaamini nenda uombe Kazi ya ujenzi afu tuone kama hujakimbia SI unaropoka tuu hapa.
 
Hujui kitu wewe,kwamba darasa ni kusimamisha BOMA basi? Unajua hata bei ya mlango ulipi hapo au unaropoka? Unajua hata bei za mbao treated za kuezekea hilo darasa?
Hahahaha eti boma, acheni wizi wa mali za umma, nimeshiriki kujenga madarasa tangu 2018-2021 huwezi nidanganya mpuuzi wewe
 
Majengo ya serikali ipi? hatuyaoni ambayo ya expansion joint kabla hata hajaanza kutumika? hahahaha kawadanganye wapuuzi wenzako, BOQ zenu ni wizi mtupu
Hayo ya expansion joint Ndio ya bei hizi mnazotetea Kwa upuuzi wenu hapa.

Ni hivi ukitaka kizuri ingia mfukoni hutaki Kaa hivyo hivyo utajengewa Kama inavyotaka.

Hilo darasa unalotaka wewe liwe la viwango haliwezi jengwa Kwa mil.20
 
Hahahaha eti boma, acheni wizi wa mali za umma, nimeshiriki kujenga madarasa tangu 2018-2021 huwezi nidanganya mpuuzi wewe
Kama umeshiriki utakuwa mpumbavu wa mwisho,ushiriki wako unaonesha hiyo pesa inatosha?
 
Hayo ya expansion joint Ndio ya bei hizi mnazotetea Kwa upuuzi wenu hapa.

Ni hivi ukitaka kizuri ingia mfukoni hutaki Kaa hivyo hivyo utajengewa Kama inavyotaka.

Hilo darasa unalotaka wewe liwe la viwango haliwezi jengwa Kwa mil.20
Mkuu leta mchanganuo wako kama mimi hapa (Tofali 500 x 1200 = 600,000, mawe lori 5 x 120,000 = 600,000, nondo 30 x 22,000 = 660,000, bati 40 x 30,000 = 1,200,000, cement 50 x 17,000 = 850,000, mchanga lori 5 x 100,000 = 500,000, misumari 20kgs x 6,000 = 120,000, fundi 1,500,000, mlango 200,000, madirisha 5 x 150,000= 750,000, maji 100,000, kokoto 300,000, vioo na ufundi 300,000, rangi na ufundi 500,000, nauli vifaa 100,000 dharura 1,000,000 jumla 9,280,00 na chenchi inabaki mkuu) acheni wizi wa mali za umma tuwe wazalendo
 
Hayo ya expansion joint Ndio ya bei hizi mnazotetea Kwa upuuzi wenu hapa.

Ni hivi ukitaka kizuri ingia mfukoni hutaki Kaa hivyo hivyo utajengewa Kama inavyotaka.

Hilo darasa unalotaka wewe liwe la viwango haliwezi jengwa Kwa mil.20
Umejenga kitu gani wewe mpuuzi unatia watu utadhani una ghorofa hapo kwako kumbe umepanga
 
Back
Top Bottom