Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
[emoji23][emoji23][emoji23]Tulia headmaster, mmezoea kusema choo cha shule kimejengwa kwa m20 kumbe zinajenga darasa na ofisi na makolombwezo kibao
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]Tulia headmaster, mmezoea kusema choo cha shule kimejengwa kwa m20 kumbe zinajenga darasa na ofisi na makolombwezo kibao
Wamekufundisha unaandika leo,unawaona wajinga eeeh![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bahati mbaya kundi la walimu ni la watu wajinga wengi ambao hajitambui
Ahsante sana. Dah, sasa 20 hii inatoka wapi tena maana inaonekana ni ya kumalizia boma tu na sio kuanza mwanzo!Wacha niweke boq ili tuone uhalisia wa hiyo pesa.
Pia kumbuka serikal inataka madarasa mawili tu yaliyokamilika.
Kuweka ofisi +fanicha ni kujiongeza tu.
Pia tukumbuke kwamba ujenzi huu utatumia local fundi ili kubana matumizi na pia vifaa utanunua kwa mzabuni aliyepo karibu kulingana na ushindani wa bei japo pia unaweza kubana matumizi zaidi kwa kununua kwa jumla na pia kununua viwandani na pia kutumia local materials kama mawe na mchanga kama upo karibu n.kView attachment 1982268
Watu wana utani sana, kiongoziHujawahi hata kujenga choo wewe. Unafikiri choo Cha shule Ni tundu moja km hicho Cha kwako Cha familia.
Halafu unadhani hao wanaotoa hizo hela wanazitoa kwamba hawajui uhalisia wa kujenga darasa moja au choo Cha matundu 16 inagharimu sh ngapi kulingana na eneo husika.
Unaongea as if mwalimu mkuu ndiye anasema naomba kiasi fulani KWA ajili ya choo au darasa , km vile hamna MHANDISI WA WILAYA ambaye ndiye anatengeneza makadirio hayo.
Mnapenda sana kuleta humu jukwaani akili za vijiweni za majungu na umbea wa mtaani. Wengine hata room moja hamjawahi kujenga. Pumbavu.
Hahahaaaa, sawasawa!kama ni hivyo Basi mkuu wa shule afanye haya:-
1.kila mfuko saruji utoe tofali arobaini!
2.jamvi la molam na sio kokoto na nondo!!
3.Resho(ratio) ya mchanga na saruji iwe chini!ya kujengea ndoo 35 kwa mfuko!!
4.kenchi ziwe chache halafu bati gauge 32 tena zipakwe rangi nzuri ya Bati!!!
Asamehewe tu huyo hajui alitendaloWamekufundisha unaandika leo,unawaona wajinga eeeh![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
mafanikio yako makubwa ni kujenga mkuu?😂 akili yenyewe unayo? maana kwa uandishi huu na ulivyonielewa naona bado una safari ndefu sana katika kujitambuaHujawahi hata kujenga choo wewe. Unafikiri choo Cha shule Ni tundu moja km hicho Cha kwako Cha familia.
Halafu unadhani hao wanaotoa hizo hela wanazitoa kwamba hawajui uhalisia wa kujenga darasa moja au choo Cha matundu 16 inagharimu sh ngapi kulingana na eneo husika.
Unaongea as if mwalimu mkuu ndiye anasema naomba kiasi fulani KWA ajili ya choo au darasa , km vile hamna MHANDISI WA WILAYA ambaye ndiye anatengeneza makadirio hayo.
Mnapenda sana kuleta humu jukwaani akili za vijiweni za majungu na umbea wa mtaani. Wengine hata room moja hamjawahi kujenga. Pumbavu.
Hata chini ya mti ningejua tu kusoma na kuandika, kwani binadamu wa kwanza kujua kusoma na kuandika alifundishwa na nani? nani alimwambia kuwa sasa una certificate, diploma, degree, masters, PhD n.k?Wamekufundisha unaandika leo,unawaona wajinga eeeh![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jana nimetaja jumla ni 9,280,000 pamoja na pesa ya dharura tena kwa gharama za Dar siyo mikoani ambako mchanga ni elfu 70 kwa gari mojaDuuh nikupa mkuu utajenga! Yaani unaongea kabisa ukiwa na akili zako timamu.
Uchimbe msingi, umwage jamvi na nondo zake, cement, mchanga kokoto, hela ya fundi, tofali , plasta, upauwe bati na mbao zake madirisha manne au matano. Duuuuh!
Akili za maskini hizi
Poa mkuuAsante mkuu umemaliza
Tofali 500 x 1200 = 600,000, mawe lori 5 x 120,000 = 600,000, nondo 30 x 22,000 = 660,000, bati 40 x 30,000 = 1,200,000, cement 50 x 17,000 = 850,000, mchanga lori 5 x 100,000 = 500,000, misumari 20kgs x 6,000 = 120,000, fundi 1,500,000, mlango 200,000, madirisha 5 x 150,000= 750,000, maji 100,000, kokoto 300,000, vioo na ufundi 300,000, rangi na ufundi 500,000, nauli vifaa 100,000 dharura 1,000,000 jumla 9,280,00 na chenchi inabaki mkuuDuuh nikupa mkuu utajenga! Yaani unaongea kabisa ukiwa na akili zako timamu.
Uchimbe msingi, umwage jamvi na nondo zake, cement, mchanga kokoto, hela ya fundi, tofali , plasta, upauwe bati na mbao zake madirisha manne au matano. Duuuuh!
Akili za maskini hizi
Hivi wewe unajua ujenzi, unapitia kipindi kipi. Kwa miezi mitatu kama unajenga kwa cement ya dangote poa kabisa hata mwezi.Kiongozi anaagiza madarasa yote yakamilike ndani ya miezi mitatu ili kufurahisha umati.
Mwisho wa siku madarasa yanalipuliwa tu chini ya kiwango.
SIASA SIASA SIASA.
Mhhh! Inategemea ni wapi. Kuna sehemu cement anauza 30,000/=Tofali 500 x 1200 = 600,000, mawe lori 5 x 120,000 = 600,000, nondo 30 x 22,000 = 660,000, bati 40 x 30,000 = 1,200,000, cement 50 x 17,000 = 850,000, mchanga lori 5 x 100,000 = 500,000, misumari 20kgs x 6,000 = 120,000, fundi 1,500,000, mlango 200,000, madirisha 5 x 150,000= 750,000, maji 100,000, kokoto 300,000, vioo na ufundi 300,000, rangi na ufundi 500,000, nauli vifaa 100,000 dharura 1,000,000 jumla 9,280,00 na chenchi inabaki mkuu
Tofali 500 zinaweza jenga darasa kweli? Mawe trip 5 yajenge msingi wa darasa?, mabati 40 yanatosha kupigilia darasa?Tofali 500 x 1200 = 600,000, mawe lori 5 x 120,000 = 600,000, nondo 30 x 22,000 = 660,000, bati 40 x 30,000 = 1,200,000, cement 50 x 17,000 = 850,000, mchanga lori 5 x 100,000 = 500,000, misumari 20kgs x 6,000 = 120,000, fundi 1,500,000, mlango 200,000, madirisha 5 x 150,000= 750,000, maji 100,000, kokoto 300,000, vioo na ufundi 300,000, rangi na ufundi 500,000, nauli vifaa 100,000 dharura 1,000,000 jumla 9,280,00 na chenchi inabaki mkuu
Tofali 500 block zishindwe kujenga darasa moja? utakuwa umedanganywa ww, je dharura ya 1,000,000 inakazi gani?Tofali 500 zinaweza jenga darasa kweli? Mawe trip 5 yajenge msingi wa darasa?, mabati 40 yanatosha kupigilia darasa?
Acha kupotosha, Kuna vitu vingi sana hujaweka hapo kama vile mbao za kufungia renta, kupaulia na blandering, Gypsum board,,gypsum powder, DPM, red cement, white cement, n.k hiyo misumari uliyoweka hapo inatosha tu kwenye kupigilia beam.
Siku ukijenga hata slope utagundua ilivyo kazi.
Siku hizi wanatumia imprest mkuu kununua vifaa vya shuleMwaka jana nilikuwa kwenye kamati ya ujenzi, shule ilipewa hiyo milioni 40 lakini ilivyowekwa kwenye matumizi haikutosha, kuna sehemu vifaa vya ujenzi vipo juu sana hasa mikoa ya pembezoni, fikria Kuna sehemu mfuko wa simenti ni 25000, nondo 27000 na hivi vifaa wazabuni hupandisha bei kwa sababu wanalipa kodi zote muhimu.
Lakini bado 12M haitafika mkuuMhhh! Inategemea ni wapi. Kuna sehemu cement anauza 30,000/=
Hivi akili yako ipo vizuri kweli? Tofali 500 zijenge darasa gani? Halafu usifikiri ujenzi wa serikali ni kama unavyojenga wewe lazima kuwe na ubora, unapotosha usichokijua.Tofali 500 block zishindwe kujenga darasa moja? utakuwa umedanganywa ww, je dharura ya 1,000,000 inakazi gani?