#COVID19 Watendaji na walimu wakuu wanavyoenda kuteseka na fedha za COVID‐19 za IMF

#COVID19 Watendaji na walimu wakuu wanavyoenda kuteseka na fedha za COVID‐19 za IMF

Hivi humu hakuna mhandisi akashusha BOQ za darasa moja kisha akatoa tena BOQ za vyumba viwili vilivyo katika foundation moja nikimaanisha kuta za nje nne zilizogawanywa katikati kutoa vyumba viwili? Ili aidha malalamiko yasikilizwe au wabanwe pesa ipunguzwe? BOQ ibase kwenye mkoa unaojenga kwa tofali za udongo kama Njombe na tofali za cement na mchanga kama Dodoma. Ili tusilaumiane bure.
Wazo zuri kabisa hili
 
Kiongozi anaagiza madarasa yote yakamilike ndani ya miezi mitatu ili kufurahisha umati.
Mwisho wa siku madarasa yanalipuliwa tu chini ya kiwango.
SIASA SIASA SIASA.
Aisee, acha tu yaani!
Sijuk sisi waafrika (watz) tunakwama wapi?!!!!!!!!!!!!!
 
Tulia headmaster, mmezoea kusema choo cha shule kimejengwa kwa m20 kumbe zinajenga darasa na ofisi na makolombwezo kibao
Wakuu wa shule siku hizi mtamu, wanapewa posho ya madaraka nje ya mshahara.

Mkui wa shule ( primary ) = Tsh 150,000

Headmaster= Tsh 200,000.

Na watendaji wako kwenye process za kuanza kupewa posho ya Tsh 100,000 kwa mwezi nje ya mshahara.

Hivyo, utamu wa posho ni lazima uendane na majukumu.

Kijana Acha kulia lia.
 
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania

Madame Samia Suluhu Hassan
Kasema Wazi Wazi Pesa Hiyo Ni Ya Moto
Ukijichanganya Utaona Kilichomtoa Kanga Manyoya
 
Ktk watumishi wote wa serikali walimu mnanyanyasika Sana Aisee... Kihalali kabisa walimu mlitakiwa muishi vizuri kuliko watumishi wote serikali..

Mungu awape nguvu.
Hujui unachoongea Mkuu.

Walimu wananyanyasika kwenye nini ??
 
Wakuu wa shule siku hizi mtamu, wanapewa posho ya madaraka nje ya mshahara.

Mkui wa shule ( primary ) = Tsh 150,000

Headmaster= Tsh 200,000.

Na watendaji wako kwenye process za kuanza kupewa posho ya Tsh 100,000 kwa mwezi nje ya mshahara.

Hivyo, utamu wa posho ni lazima uendane na majukumu.

Kijana Acha kulia lia.
Nafikiri ongeza 50,000 kwenye kila tarakimu zako zilizozidi 100,000
 
Pesa hiyo ni mrefu saana inatosha hadi na masala yanabaki

Kuwa mpole mkuu , kuwa mwl kwako ni sumu ?
Nimemuuliza mdau mmoja hapo juu, kuwa kesho nikileta habari ya covid-19 mtaniita dr?

Ila sina shida na hilo, nimeuliza tu. Unaweza kuita hata mara 500
 
Vijana wa Chaggadomo wanaamini ili uwe 'Jiniasi' lazima uwapigie wao kura na kwenda kuandamana wapate madaraka.
Nimemuuliza lile swali ili anijibu, Kama Ni kweli mwl wanasema anatumika na CCM kuiba kura then aniambie yeye mbele ya vijana wa usalama, police na jeshi angekua na ubavu wa kubisha kufanya kitu gani kwny Hilo zoezi la kura.

Mtu mwenyewe hata Lissu alisema waandamane akajifungia ndani na mumewe akifanyiwa massage Leo anawaponda walimu kwa kwa 'unyonge' wao mbele ya vyombo vya dola.
 
Bahati mbaya kundi la walimu ni la watu wajinga wengi ambao hajitambui
Hapo hapana tuwape heshima yao! Ila changamoto yao kubwa ni kujiongeza na kutoamua kuwa watofauti katika harakati za maisha! Unakuta mwalimu mazingira anayokaa tu ni mabaya sana kuanzia nyumbani! Kikubwa wawe na uthubutu! Nimeshuhudia walimu wengi sana siku hizi wanamafanikio makubwa sana! Lakini unakutana na mwalimu kazi yake kufatilia wanafunzi vitu vya kijinga badala ya kuwa mshauri na kuangalia maisha yake!
 
Kweli asee
 
Back
Top Bottom