Kuna sehemu tulijenga madarasa mawili,ofisi moja ya mwalimu mkuu na strong room moja ,gharama za kukamilisha boma zilikuwa milion 13 kwa jengo zima. Location ni Mbeya,tofari za kuchoma,msingi wa maweHivi humu hakuna mhandisi akashusha BOQ za darasa moja kisha akatoa tena BOQ za vyumba viwili vilivyo katika foundation moja nikimaanisha kuta za nje nne zilizogawanywa katikati kutoa vyumba viwili? Ili aidha malalamiko yasikilizwe au wabanwe pesa ipunguzwe? BOQ ibase kwenye mkoa unaojenga kwa tofali za udongo kama Njombe na tofali za cement na mchanga kama Dodoma. Ili tusilaumiane bure.