Watendaji wa JamiiForums watembelea hifadhi ya Ngorongoro baada ya kufanya tathmini ya mipango na maandalizi ya mwaka 2024

Mkirudi mjirekebishe. Muache kufuta nyuzi zinazoikosoa serikali, kuirekebisha, acheni tabia ya kubadilisha heading. Inatakiwa muishi slogan yenu hii where we dare to talk openly.
 
Kwakweli kama ntapigwa ban basi lakino huyo mod kwenye ya pili kulia mwanzoni kabisa nimempenda kabisa kwakweli hiyo miguu yake imenifanya nishindwe kulala…
I love you wewe mod…
 
Tulia mzee wewe huyo ni shemeji yako!
 
Tulia mzee wewe huyo ni shemeji yako!
Shaka ondoa kabisa, mimi tayari ni kibogoyo, sina tena meno ya kutafunia nyama, ni kula kwa macho tuu!.

After all, numbers zime tally, ukimuondoa Max na wale wazungu wawili preferably wageni wa JF, staff ni 20, kuna Serengeti 10 na Ngorongoro 10, ni man2man!, no loose ball hapo!.
P
 
Shaka ondoa kabisa, mimi tayari ni kibogoyo, sina tena meno ya kutafunia nyama, ni kula kwa macho tuu!.
P
Hahahaha nyie wazee huwa mnasemaga hivyo halafu unarudi unakuta binti ana mimba….πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wazee huwa wanashindwa kutafuna nyama lakini si papuchiiiii….πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hata mimi nimeshangaa tuache utani mkuu hapo hakuna pisi kali yeyote..
Wanipige tu ban haina shida ukweli usemwe..
Nyie Wazee wa Soup pisi kali kwenu ni levolaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kidding
 
Nzuri sana

Hapo baadaye na sisi membaz tutapanga sehemu ya kutembelea, au jambo la kufanya katika jamii ili kuifanya JF liwe jukwaa lenye manufaa zaidi katika jamii zetu, kitaifa na kimataifa.

Nimewaona nnaowajua yaani sikujua kama ndiyo akina Moderator ila JF jamani. Unaweza jikuta unabishana na mtu kwenye posts zako na mnawakiana sana kumbe ni jirani yako kabisa.

πŸ€£πŸ™
 
Enzi zako baba Mark& Linda ulitisha sn, acha ss upumzike....hasa enzi za Ilala flats kbl ya kuhamia kwenye Hekaru lako mbezi.....
Duh Twilu...!Twilumba , kweli wewe unanijua toka Ilala!. Mna undugu na Twilumba Lupembe?.
Mark na Linda wamenizeesha fasta, kila mmoja ana watoto 2!.

Pale Mbezi mimi nakaa banda la uani, kile kibanda ni cha yule mdada cheupe!.
P
 
Duh Twilu...!Twilumba , kweli wewe unanijua toka Ilala!. Mna undugu na Twilumba Lupembe?.
Mark na Linda wamenizeesha fasta, kila mmoja ana watoto 2!.

Pale Mbezi mimi nakaa banda la uani, kile kibanda ni cha yule mdada cheupe!.
P
Hahaaaa huenda tunafahamiana na Twilumba Lupembe ila sina uhakika...
Wasalimie sana madogo Mark na Linda, u used to be Great Daddy, hata baada ya yote! Great sana P.....
 
Ngoja nikasomee kupiga Ban na mimi nitakuwa sehemu ya hii staff siku moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…