Watendaji wa JamiiForums watembelea hifadhi ya Ngorongoro baada ya kufanya tathmini ya mipango na maandalizi ya mwaka 2024

Naunga mkono hoja, mimi nimependa ile leggy line ya pisi ile ya kwanza kulia yenye combat ya Chadema!.
Kuna watu tunakwama kuwa ma bosi kwasababu ningekuwa mimi ndio Max, sijui kama kungekuwa na usalama!.

Ndipo nimegundua ukiwa mtu hatari, hupewi ubosi utaharibu!, matokeo yake unaishia kuwa ni mtu wa kutumwa tumwa tuu, hautumi!.

Big up sana Mkuu @Maxence and the entire JF team, andaeni jf members retreat local and foreign, tutalipia
P
Umeona eeh Mkuu Pascal Mayalla 🤗

Ndiyo maana huwa napenda kusema "Kweli Vijana Wanafaidi " 😜
 
Naunga mkono hoja, mimi nimependa ile leggy line ya pisi ile ya kwanza kulia yenye combat ya Chadema!.
Kuna watu tunakwama kuwa ma bosi kwasababu ningekuwa mimi ndio Max, sijui kama kungekuwa na usalama!.

Ndipo nimegundua ukiwa mtu hatari, hupewi ubosi utaharibu!, matokeo yake unaishia kuwa ni mtu wa kutumwa tumwa tuu, hautumi!.

Big up sana Mkuu @Maxence and the entire JF team, andaeni jf members retreat local and foreign, tutalipia
P
Hahahahaha ile combat ya chadema mbn tumeiona wengi Mkuu
 
Ingekuwa enzi zetu alafu unafanya kazi kwenye hiyo Ofisi Kila Siku saa 11 alfajiri unawahi ofisini kusaidia shughuli za Usafi....

Bora tumezeeka sasa 😜🤗
Nakazia
JF Staff Huko Kuna Hoja Ya Kujadiri Mambo Ni Moto
 
Anaonekana mnoko balaa, ukibugi hana mswalia mtume ni nyundo moja ya Ban,
5.jpg
 
Back
Top Bottom