Watendaji wa JamiiForums watembelea hifadhi ya Ngorongoro baada ya kufanya tathmini ya mipango na maandalizi ya mwaka 2024

Watendaji wa JamiiForums watembelea hifadhi ya Ngorongoro baada ya kufanya tathmini ya mipango na maandalizi ya mwaka 2024

Mmezingua sana wajuba, inamaaana Wateja wenu tulioko hapa Jamvini mlishindwa hata kualika Mwanajamvi mmoja akatuwakilisha na sisi tukajiskia fahari kama wateja wenu. Imagine hapo Ningemuona Pascal Mayalla kama mwakilishi wa sisi Members aysee ingekuwa poa sana.
Anyway muda bado uppo next time msisahau mwaliko kwa Snr members wa JF hapa mf Mshana Jr watuwakilishe vilivyo tutajiskia fahari zaidi.
Am kidding mods msije kunipa life ban.
Naunga mkono hoja, kwa vile hii ndio the first public JF staff retreat, huu ni mwanzo wa retreats, hivyo itafuatia jf members Dar retreat, Arusha retreat, JF London, JF DMV, etc etc na sisi wa ku chumpa, tutahudhuria
P
 
Sio JF ya sasa, ile ya zamani Mods walikuwa wa kawaida sana aisee, halafu kumbuka JF ya sasa ni Next Level. Mkuu Maxence alishakaa meza moja na Mark Pence ( VP wa Donald Trump wakati ule)
We nawe umekomalia..!!! 🙌
Au ulituma maombi 🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom