GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Unaacha Kufanya Kazi kwa bidii huku ukimshirikisha Mwenyezi Mungu Wewe unachowaza ni Kumroga fulani ili Afe Ajalini ili uchukue nafasi yake. Na ninachofurahi Warogaji wengi wa Wenzao ili Wafe ( hasa Ajalini ) ikitokea kweli waliowalenga Wamekufa huko Ajalini baadae wala hawazipati hizo Nafasi badala yake Wanateuliwa na Kuzipata Watu wengine kabisa.
Ni aibu kubwa sana kukutana na Mtendaji wa Serikalini akiangusha Hirizi akiwa anatoa Kitambaa cha Makamasi ( Handkerchief ) Mfukoni mwake au kukutana na Dereva wa Serikalini akiwa Kaficha Hirizi Kubwa kama Kende za Kifaru chini ya Siti yale katika Gari analoliendesha. Nachukia sana Mijitu inayopenda Ushirikina / Ulozi hasa Makazini ili tu Kuwadhuru Wenzao Kiuchawi.
Najua huu Uzi Watendaji wote wa Serikali na Madereva wa Serikalini wenye hizi Tabia mtausoma na mtabadilika Oky?