Nchi hii mtumishi ambae hana posho ni mwalimu tu. Huyu kila kitu ataambiwa awe mzalendo.Hawa viongozi wetu wanacheza tu na akili zetu! Haya ni maonesho tu yasiyokuwa na uhalisia! Mbona mengine hatuambiwi? Kwani ni wizara ya frdha tu wanalipana maposho makubwa? Ubadhirifu upo kila mahali lakini mnachagua sehemu ambayo mnajua mtawapumbaza wananchi! In fact hakuna litakaloendelea kwa sababu sheria navtsratibu zinawaruhusu kujilipa walivyojilipa! Acheni kutuchezea akili nyie!
Huu ni upuuzi tu, unless mwandishi kakosea. Sina hakika kama ni kazi ya Mkaguzi Mkuu kufanya kazi ya Pre-Audit. My understanding pre-audit inafanyika kabla malipo hayajafanyika.
Hii ni kazi ya Mweka Hazina/ Accountant. Lingekuwa ni tukio la mwaka uliopita ambao tayari Mkaguzi ameufanyia kazi, basi ningemuelewa Majaliwa.
Napataga shida kumuelewa huyu bwana.
Namkubali Sana majaliwa 100%,baada be ya kifo Cha JPM huyu ndo amebaki kuwa faraja yangu katika usimamizi wa pesa za imma.Very smart prime minister.
Ila kuwa Makini mzee maana imani ya Watanzania imeelekezwa zaidi kwako sasa,Japo Kundi la mafisadi,watumishi wazembe na wezi wa mali za umma bado linakuona wewe ni kikwazo kwao
Sio kweli mkuu.wizi haukuwepo walimuogopa Mwendazake maana ukibainika ulikua una hatari ya kupoteza kila kitu.sema miradi mingine aliyoibariki na kuiendesha ndo ilikua unaleta hasara kutoka kwenye riport ya ndugu CAG ,pia matumizi mengi nje ya bajeti lakini tutamkumbuka kwa kutukomeshea wezi walipotea kabisa naona wameanza kurudi taratibu.kazi iendeleeKwahio unadhani enzi zake kulikuwa hakuna upigaji ? Tofauti ni kwamba enzi zake upigaji mwingine usingesikia ingawa hata sasa angalau tunasikia robo tatu ingawa sio wote..., enzi za mwendazake ungesikia tu ule aliotaka yeye usikie...
Kusema PM amekurupuka sio ustaarabu acha chuki mkuu hata Kama we ni mpinzani Kuna Mambo ya kupongeza pale hatua nzuri zinapochukuliwa kwa maslahi mapana ya TaifaHuwa anakurupuka!!,unawasimamisha bila uchunguzi,na vyombo vya habari vinaitwa.
Lakini,jamii inataka kujua malipo ya kati ya mwezi wa JANUARI na FEBRUARI,kabla ya ule msiba wa taifa.Sasa mbona haya matumizi yameanzia mwezi MACHI.
Hii nayo inaweza kuwa ni mchezo wa kuigiza,makubwa yameachwa wameshughulika na jambo ambalo halijafanyiwa uchunguzi.
Ninao wasiwasi huenda PM hajui utaratibu wa malipo hasa kiuhasibu.Hii habari haijakaa sawa.
Taratibu za fedha zina mtu aliyeomba hiyo fedha, wapo walioidhinisha hayo malipo, ndo na mkaguzi ni mmojawapo, yupo aliyelipwa, aliyetumia nk.
Na kila kitu kipo kwenye mfumo wa fedha.
Mtu muhimu ni aliyeinitiate hayo malipo. Faili la malipo lipo online.
Ile report ya Jan to March ilifia wapi?
Huwa anakurupuka!!,unawasimamisha bila uchunguzi,na vyombo vya habari vinaitwa.
Lakini,jamii inataka kujua malipo ya kati ya mwezi wa JANUARI na FEBRUARI,kabla ya ule msiba wa taifa.Sasa mbona haya matumizi yameanzia mwezi MACHI.
Hii nayo inaweza kuwa ni mchezo wa kuigiza,makubwa yameachwa wameshughulika na jambo ambalo halijafanyiwa uchunguzi.
Itaachiwa kweli......noti suaBado haijaachiwa.
Tutasikia mazito ngoja itoke.
Upo sahihi sana mkuuI still consider the whole approach “idiotic” hii kwenda public kwenye issue kama hii kunawavunja moyo walipakodi na wakusanya kodi.
Hapa inatakiwa kumkimbiza mwizi na ku-deal naye kimya kimya
Upo sahihi sana mkuuI still consider the whole approach “idiotic” hii kwenda public kwenye issue kama hii kunawavunja moyo walipakodi na wakusanya kodi.
Hapa inatakiwa kumkimbiza mwizi na ku-deal naye kimya kimya
Unajuaje ?Sio kweli mkuu.wizi haukuwepo walimuogopa Mwendazake maana ukibainika ulikua una hatari ya kupoteza kila kitu.sema miradi mingine aliyoibariki na kuiendesha ndo ilikua unaleta hasara kutoka kwenye riport ya ndugu CAG ,pia matumizi mengi nje ya bajeti lakini tutamkumbuka kwa kutukomeshea wezi walipotea kabisa naona wameanza kurudi taratibu.kazi iendelee
Sijawahi kulikubali hilo jahilia linaloitwa Mwigulu. Ni litesaji na liuaji. Alistahili kuwa gerezani. Ni mavi matupu kichwani. CCM ni ileile.
Kwendaaaaa!Umkubali , usimkubali yeye ni waziri wa fedha. Hutaki hama nchi.