Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukinunua Water Tanks, maji utayapata wapi?
Kuchimba kisima kunategemea upatikanaji wa maji eneo ulilopo. Je umeshapima maji chini ya ardhi yanapatikana mita ngapi? Kila mita itakugarimu hadi laki moja kuchimba, je gharama umizifikiria?
Wengine watakushauri zaidi.
Fafanua kidogo, unaweza ukajenga kisima kwa ajli ya kuvuna maji ya mvua kwa matumizi ya muda mrefu au unaweza kuchimba kisima (drilling) kwa ajili ya kupata maji chini ya ardhi, wewe hapa ni kipi unahitaji kufanya?
laki moja kuchimba kisima? au ni typing error?Sina hakika muuliza swali una maanisha kisima chenye chemchem ya maji au just kujengea tanki la kuhifadhi maji ya bomba aridhini.kama ni deep well kwa sasa gharama ya uchimbaji ni kati ya 4M hadi 8M,inaweza ongezeka au kupungua kidogo kutokana na mahali ulipo. kama una maji yanatoka atleast once per week, kununua tank ni economical.but kua na kisima ni wazo jema kwa wasio na mabomba ya maji.Ukinunua Water Tanks, maji utayapata wapi?
Kuchimba kisima kunategemea upatikanaji wa maji eneo ulilopo. Je umeshapima maji chini ya ardhi yanapatikana mita ngapi? Kila mita itakugarimu hadi laki moja kuchimba, je gharama umizifikiria?
Wengine watakushauri zaidi.
Ukinunua Water Tanks, maji utayapata wapi?
Kuchimba kisima kunategemea upatikanaji wa maji eneo ulilopo. Je umeshapima maji chini ya ardhi yanapatikana mita ngapi? Kila mita itakugarimu hadi laki moja kuchimba, je gharama umizifikiria?
Wengine watakushauri zaidi.
Ningependa kufahamu bei ya poly tank.tafadhali lita 5000.na lita 10000
Mkuu kwenye nyekundu siyo sahihi hata kidogo, vinginevyo watu wachache sana wangemudu gharama za kuchimba visima. Nina quotation ya kuchimbiwa kisima cha mita 80 kwa mil. 2.9 tu jijini DAR. Kwa maana hiyo kila mita ni Tshs.36,250 tu.
Wakuu salaamaleikum.Naomba msaada wa hili.kwa wanaokaa Dar mwenye uzoefu atusaidie
kipi nafuu Kutengeneza kisima cha maji au kununua Water tanks.Karibuni
polytank lita 5000 nimenunua kwa sh 750,000/= last year mwezi wa desemba pale mwenge