Muda utaongea...na hakika hata wewe hapa kuna siku utamkumbuka JPM na utatafuta clip za JPM uzitumie kubishana na watu
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Tarrhe 17 march mengi yalibadilika ikiwmo nchi kupata raisi mpya. Tarege hiyo ikumbukwe daimaMnaumia tuu bure hakuna mnaloweza badili
Aisee hata wakongwe kama nyie mnafungua nyuzi cheap kama hizi? [emoji848]Ni wazi watetea legacy ya mwendazake wamezidiwa vibaya sana.Ilikuwa ni kazi rahisi kupambana na CHADEMA,Team JK,Team kanda ya kambo sasa ni wazi watu wa makundi mbali mbali wameonyesha walichoshwa na mfumo au ukipenda utawala mbovu wa Mwendazake.
Nawasilisha.
Tarrhe 17 march mengi yalibadilika ikiwmo nchi kupata raisi mpya. Tarege hiyo ikumbukwe daima
Mwendazake LEGACY pekee Aliyoiacha ni UDIKTETANi wazi watetea legacy ya mwendazake wamezidiwa vibaya sana.Ilikuwa ni kazi rahisi kupambana na CHADEMA,Team JK,Team kanda ya kambo sasa ni wazi watu wa makundi mbali mbali wameonyesha walichoshwa na mfumo au ukipenda utawala mbovu wa Mwendazake.
Nawasilisha.