Kinkunti El Perdedo
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 5,200
- 12,762
Hilo sanamu wanalo jenga litakuwa onesho la kiongozi wa hovyo kuwahi kutokea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unazungumziaje kauli ya Diallo 😂😂😂😂Mnaumia tuu bure hakuna mnaloweza badili
... March 17, 2021 was the greatest milestone of this nation. Ni tarehe ambayo, sio kwamba umuhimu wake ni tukio lenyewe, bali ni mwanzo wa fikra na mtazamo mpya kama taifa. Ni tarehe ambayo inatukumbusha matokeo ya maamuzi yetu kwa umoja wetu; tunafikiri sawa sawa kabla ya kuamua? Au tunaamua tu kwa ushabiki wa kimakundi bila kuzingatia athari za maamuzi yetu hayo?Tarrhe 17 march mengi yalibadilika ikiwmo nchi kupata raisi mpya. Tarege hiyo ikumbukwe daima
Unazungumziaje kauli ya Diallo 😂😂😂😂
Nukuu kutoka kwa Mwenyekiti wa CCM was Mkoa anayetumia Viieiti (In Polepole's voice"Nadhani tuwe waangalifu katika kuchagua, kuwepo na 'track record'. Huko nyuma tulishawahi kuchagua watu waliokwenda hospitali za vichaa, mtu ana kumbukumbu za taarifa za Mirembe (hospital ya vichaa) halafu unamuachia achukue nchi?" - Anthony Diallo
... Wakati mwingine artifacts kama hizo (masanamu, picha, n.k.) husadia kuamsha hisia, nguvu, na ari mpya katika jamii. Litasaidia kuvikumbusha vizazi vijavyo kwamba nchi iliwahi kuwa na kiongozi kama huyu. Ni juu yao kuamua ama kulivunjilia mbali au kuishi nalo!Hilo sanamu wanalo jenga litakuwa onesho la kiongozi wa hovyo kuwahi kutokea.
Kumbe Laizer kupata Tanzanite kwa kuwekeza nguvu zake (kama ni kweli) nayo yalikua mafanikio ya MwendazakeWakakimbia alafu kiwanda bora kabisa Afrika cha kufua zahabu kikajengwa, nchi ikaingia uchumi wa kati , mabilionea kama akina Laizer wakaibuka, mapato ya ccm yakatoka million 5 yakafikia billioni 20 kwa mwaka!
Tunamuonya Diallo yeye amekuwa mbunge na waziri kwa miaka 20 lakini hakuna wananchi wanachomkumbuka nacho ni kama tu hajawahi kuwa kiongozi
Uandishi huu ni wa weekend huku ukipata MvinyoTeam ya mwendazake ni wangese watupu
Hujajib swal lang juu ya maneno ya Diallo kua unayachukuliaje, suala la kuchukulia kama kauli yang wakat mimi cjatamka as Diallo. Hebu zungumzia kauli ya Diallo kua waionaje anadanganya ama?Naichukulia Kama ninavyoichukulia kauli yako tuu
Hamna kitu mnaweza fanya zaidi ya maneno matupu😅😅😅😅
Mi nitamkumbuka kwa mabaya na mazuriMuda utaongea...na hakika hata wewe hapa kuna siku utamkumbuka JPM na utatafuta clip za JPM uzitumie kubishana na watu
Ni wazi watetea legacy ya mwendazake wamezidiwa vibaya sana.Ilikuwa ni kazi rahisi kupambana na CHADEMA,Team JK,Team kanda ya kambo sasa ni wazi watu wa makundi mbali mbali wameonyesha walichoshwa na mfumo au ukipenda utawala mbovu wa Mwendazake.
Nawasilisha.
mama D ameshikilia Gobole😆😆😆😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Hapo nimemwona jinga lao akiwa na "bainokola"
Magonjwa mtambuka
Kawe alumn
Nigrastra sijui nini kule
Na wengine kama kina
Stroke na john the baptist
Kumbe Laizer kupata Tanzanite kwa kuwekeza nguvu zake (kama ni kweli) nayo yalikua mafanikio ya Mwendazake
Hujajib swal lang juu ya maneno ya Diallo kua unayachukuliaje, suala la kuchukulia kama kauli yang wakat mimi cjatamka as Diallo. Hebu zungumzia kauli ya Diallo kua waionaje anadanganya ama?