BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Ni wenye ufinyu wa akili tu ndiyo wanaoweza kutetea legacy yule dhalimu aliyeliibia Taifa hili trillions za pesa za walipa kodi katika kipindi kifupi mno. Tumshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kutuondolea janga kubwa nchini.
Ni wazi watetea legacy ya mwendazake wamezidiwa vibaya sana.Ilikuwa ni kazi rahisi kupambana na CHADEMA,Team JK,Team kanda ya kambo sasa ni wazi watu wa makundi mbali mbali wameonyesha walichoshwa na mfumo au ukipenda utawala mbovu wa Mwendazake.
Nawasilisha.