Watetea Legacy ya Mwendazake wazidi kuishiwa pumzi

Watetea Legacy ya Mwendazake wazidi kuishiwa pumzi

Ni wazi watetea legacy ya mwendazake wamezidiwa vibaya sana.Ilikuwa ni kazi rahisi kupambana na CHADEMA,Team JK,Team kanda ya kambo sasa ni wazi watu wa makundi mbali mbali wameonyesha walichoshwa na mfumo au ukipenda utawala mbovu wa Mwendazake.

Nawasilisha.
JPM amemaliza ngwe yake hapa duniani wewe bado unawewesekaweweseka tu. JPM did well, he will be remembered for the good things he managed to do for this country. What have you done yourself?

BTW how is ARS?
 
Ulitaka wafungue zipi? Wewe ukongwe wako umewasaidia nini watu zaidi ya kuwa mpiga zumari kwa kila alilofanya KAYAFA? wewe pia ni wale wale wazee wa legacy poor you!!
Kunywa beer mzee utulize mizuka!
 
Ni wajinga legacy huwa haitetewi huwa inajitetea yenyewe
Ni wazi watetea legacy ya mwendazake wamezidiwa vibaya sana.Ilikuwa ni kazi rahisi kupambana na CHADEMA,Team JK,Team kanda ya kambo sasa ni wazi watu wa makundi mbali mbali wameonyesha walichoshwa na mfumo au ukipenda utawala mbovu wa Mwendazake.

Nawasilisha.
 
Pia kama angemtumbua Bashite kwa kosa la vyeti feki, Sabaya kwa uharimia.
Asingejenga airport kijijini kwake.
Asingetaka kupiga mashangazi zake Nape kwenye ugomvi wa korosho.
Asingemtimua CAG Assad baada ya sakata la 1.5T
Asingewatisha wakuregenzi kutangaza upinzani kwa sababu anawalipa yeye.
Asingesema tunajenga kwa pesa za ndani halafu aache deni kubwa kuliko kipindi chote.
Kama jpm angeruhusu bunge live, mikutano ya akina 'dark guy' ambayo aliamini ingemrudisha nyuma, angewakataza 'wanaounga' juhudi kuhama vyama vyao, asingefichua wizi ktk makinikia, asingewabaini wafanyakazi wenye vyeti feki na kuwafuta kazi, asingerudisha nidhamu maofisini, asingehuisha shirika la ndege, asingeanza kujenga sgr, asingeleta mabasi ya mwendokasi, asingetumbua viongozi aliowaona hawaendani na kasi yake, asingempendekeza kassim kuwa pm wake, asingewapa pesa moja kwa moja wananchi walioonekana kuwa na uhitaji wa haraka, asingejenga daraja refu kuliko yote afrika mashariki na kati(kigongo), asingejaribu kudhoofisha upinzani kwa kurudisha imani ya wananchi kwa ccm, asingewasumbua wafanyabiashara wakwepa kodi, asingeacha kuwakaribisha akina TL ikulu kwenda kula bata,
MASIKINI WA MUNGU HAYA YOTE YASINGEMKUTA!!!
Mimi ni miongoni mwa watu wachache waliompenda sana kiongozi huyu.
 
"Nadhani tuwe waangalifu katika kuchagua, kuwepo na 'track record'. Huko nyuma tulishawahi kuchagua watu waliokwenda hospitali za vichaa, mtu ana kumbukumbu za taarifa za Mirembe (hospital ya vichaa) halafu unamuachia achukue nchi?" - Anthony Diallo
Diallo ni team Lowassa alisubiri msiba upite na nchi itulie ili aweze kurusha dongo.

Ni mkakati wa kisiasa naamini umemfaa na kuomba kwake radhi ni jambo lililopangwa.
 
Back
Top Bottom