Watetea Legacy ya Mwendazake wazidi kuishiwa pumzi

Ni wenye ufinyu wa akili tu ndiyo wanaoweza kutetea legacy yule dhalimu aliyeliibia Taifa hili trillions za pesa za walipa kodi katika kipindi kifupi mno. Tumshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kutuondolea janga kubwa nchini.

 
Wakati tunamkumbuka huyo mnayemuita mwendazake, tujiulize na hili: Akina Benny Saanane na Azory Gwanda wako wapi?

Tujiulize hili pia maanake na wenyewe ni binadamu kama wengine na wanastahili haki zote sawa na wengine. Bila kulitegua hili fumbo hizo sifa mnazompa huyo merehemu ni unafiki mtupu na hazina kabisa maana.
 
Reactions: BAK
Na Diallo kamaliza kabisa 😃 halafu ni Mwenyekiti wao wa mkoa pendwa wa sukumagang.
 
Ameacha legacy,nje ya jf anapendwa mnoo,chuki za wachache humu hazina tija.
 
Watu wanamtukana JPM ajabu wanafurahia maendeleo aliyoyafanikisha kwa muda mfupi. JPM ameshababisha maendeleo makubwa sana katika nchi hii. Endeleeni kutukana tu. Kutukana kwenu ni jinsi gani mnaonyesha msivyo na heshima na utu wa kibinadamu.
 
Aisee hata wakongwe kama nyie mnafungua nyuzi cheap kama hizi? [emoji848]

Ulitaka wafungue zipi? Wewe ukongwe wako umewasaidia nini watu zaidi ya kuwa mpiga zumari kwa kila alilofanya KAYAFA? wewe pia ni wale wale wazee wa legacy poor you!!
 
Miaka 50 tangu uhuru nitajie aliyepata mwingine!! Ni serikali ndyo iliweka mazingira kwa wachimbaji ndiyo maana hata hao wakaanza kutokea au hata kufikiri nako n ZERO
Hahahahaaha sibishani Ndugu
 
Kama jpm angeruhusu bunge live, mikutano ya akina 'dark guy' ambayo aliamini ingemrudisha nyuma, angewakataza 'wanaounga' juhudi kuhama vyama vyao, asingefichua wizi ktk makinikia, asingewabaini wafanyakazi wenye vyeti feki na kuwafuta kazi, asingerudisha nidhamu maofisini, asingehuisha shirika la ndege, asingeanza kujenga sgr, asingeleta mabasi ya mwendokasi, asingetumbua viongozi aliowaona hawaendani na kasi yake, asingempendekeza kassim kuwa pm wake, asingewapa pesa moja kwa moja wananchi walioonekana kuwa na uhitaji wa haraka, asingejenga daraja refu kuliko yote afrika mashariki na kati(kigongo), asingejaribu kudhoofisha upinzani kwa kurudisha imani ya wananchi kwa ccm, asingewasumbua wafanyabiashara wakwepa kodi, asingeacha kuwakaribisha akina TL ikulu kwenda kula bata,
MASIKINI WA MUNGU HAYA YOTE YASINGEMKUTA!!!
Mimi ni miongoni mwa watu wachache waliompenda sana kiongozi huyu.
 
Kuna makalio machache yanataka yajidanganya jamaa hakubaliki,na kuaminisha wengine[emoji38][emoji38].

Kazi sana.
 
"Nadhani tuwe waangalifu katika kuchagua, kuwepo na 'track record'. Huko nyuma tulishawahi kuchagua watu waliokwenda hospitali za vichaa, mtu ana kumbukumbu za taarifa za Mirembe (hospital ya vichaa) halafu unamuachia achukue nchi?" - Anthony Diallo
Ilihitji ujasiri kuyasema hayo hadharani, ingawaje wengi wanajua kuwa Mwendazake alikuwa na udhaifu si wa umeme tu wa moyo, bali hata afya ya akili.
 
Watamjengea sanamu ya mil 420
 
Muda utaongea...na hakika hata wewe hapa kuna siku utamkumbuka JPM na utatafuta clip za JPM uzitumie kubishana na watu
Kwa lipi,tushindwe kumbuka watu muhimu kama Nyerere,Karume,Mwinyi Mkapa na Kikwete tupoteze muda kumkumbuka Magufuri,tutakuwa wendawazimu.
 
Ila mama mmtumbue diallo.si sawa kuongea ongea hayo yaliyopita.
 
Huyu aliyechapisha makaratasi ya kura ajipigia kura, kisha akatuma polisi wayaingize kwenye masanduku ya tume
 
Expert member, waasisi wa Jf mpo humu tangu sisi wengine hatuzijui simu kabisa tupo primary Ila now mnaandika mada nyepesi kama hizi!?
 
Muda utaongea...na hakika hata wewe hapa kuna siku utamkumbuka JPM na utatafuta clip za JPM uzitumie kubishana na watu
moto wa milele umuunguze marehemu dikiteta mwendakuzimu.
 
Huyu Mzee kaandika huku anatetemeka .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…