Watetea Legacy ya Mwendazake wazidi kuishiwa pumzi

JPM amemaliza ngwe yake hapa duniani wewe bado unawewesekaweweseka tu. JPM did well, he will be remembered for the good things he managed to do for this country. What have you done yourself?

BTW how is ARS?
 
Ulitaka wafungue zipi? Wewe ukongwe wako umewasaidia nini watu zaidi ya kuwa mpiga zumari kwa kila alilofanya KAYAFA? wewe pia ni wale wale wazee wa legacy poor you!!
Kunywa beer mzee utulize mizuka!
 
Ni wajinga legacy huwa haitetewi huwa inajitetea yenyewe
 
Pia kama angemtumbua Bashite kwa kosa la vyeti feki, Sabaya kwa uharimia.
Asingejenga airport kijijini kwake.
Asingetaka kupiga mashangazi zake Nape kwenye ugomvi wa korosho.
Asingemtimua CAG Assad baada ya sakata la 1.5T
Asingewatisha wakuregenzi kutangaza upinzani kwa sababu anawalipa yeye.
Asingesema tunajenga kwa pesa za ndani halafu aache deni kubwa kuliko kipindi chote.
 
"Nadhani tuwe waangalifu katika kuchagua, kuwepo na 'track record'. Huko nyuma tulishawahi kuchagua watu waliokwenda hospitali za vichaa, mtu ana kumbukumbu za taarifa za Mirembe (hospital ya vichaa) halafu unamuachia achukue nchi?" - Anthony Diallo
Diallo ni team Lowassa alisubiri msiba upite na nchi itulie ili aweze kurusha dongo.

Ni mkakati wa kisiasa naamini umemfaa na kuomba kwake radhi ni jambo lililopangwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…