Wale wazalendo waliofungua kesi ya kupinga Mkataba duni wa Bandari za Tanganyika na DP WORLD ya Dubai, ambao kimsingi walishinda kesi yao ya awali huko Mbeya , Kabla ya Majaji kupata kigugumizi cha kuamua, wametinga Mahakama ya Rufaa na kuanza tena Uzalendo wao wa kutetea Bandari.
Mmoja wa Walalamikaji , Kijana Mzalendo Alphonce Lusako amewasilisha taarifa yake kwa umma , kuhusu Kipute hicho kipya kinachotarajiwa kuanza wakati wowote kuanzia sasa.
Mungu ibariki Tanganyika
View attachment 2717210View attachment 2717211