Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu Ibariki Tanganyika[emoji173][emoji173][emoji173]Wale wazalendo waliofungua kesi ya kupinga Mkataba duni wa Bandari za Tanganyika na DP WORLD ya Dubai, ambao kimsingi walishinda kesi yao ya awali huko Mbeya , Kabla ya Majaji kupata kigugumizi cha kuamua, wametinga Mahakama ya Rufaa na kuanza tena Uzalendo wao wa kutetea Bandari .
Mmoja wa Walalamikaji , Kijana Mzalendo Alphonce Lusako amewasilisha taarifa yake kwa umma , kuhusu Kipute hicho kipya kinachotarajiwa kuanza wakati wowote kuanzia sasa .
Mungu ibariki Tanganyika
View attachment 2717210View attachment 2717211
Unafikiri halitambui Hilo??Maza atakufa na pressure
lengo letu ni kuwadhalilisha , kama mlivyodhalilika mahakamu kuu MbeyaHalafu mnaanza kulalamika haziko huru.
Fuatilia uamuzi wa Mahakama za rufaa , utajifunza kituMahakama ya rufaa iko chini ya serikali gani?
Kazi ya Uwakili ni ya nani hasa ? kumbuka kwamba Shetani hajawahi kumshinda Mungu .Kijana wangu Advocate Mwakilima,mimi ni Kaka yako niliyekupokea pale Nsibirwa Hall,Makerere University, nakushauri tu kwamba ya Ngoswe muachie Ngoswe,utapigwa na SHTAKA la UHAINI ukae Jela mpaka uchakae!!ni ushauri tu
Rejea thread isemayo: Hongera team wazalendo Kwa ushindi wa Awali, tukutane mahakama ya rufaa -Rabbon.Wale wazalendo waliofungua kesi ya kupinga Mkataba duni wa Bandari za Tanganyika na DP WORLD ya Dubai, ambao kimsingi walishinda kesi yao ya awali huko Mbeya , Kabla ya Majaji kupata kigugumizi cha kuamua, wametinga Mahakama ya Rufaa na kuanza tena Uzalendo wao wa kutetea Bandari .
Mmoja wa Walalamikaji , Kijana Mzalendo Alphonce Lusako amewasilisha taarifa yake kwa umma , kuhusu Kipute hicho kipya kinachotarajiwa kuanza wakati wowote kuanzia sasa .
Mungu ibariki Tanganyika
View attachment 2717210View attachment 2717211
Inasemekana pia wakubwa watatumia mahakama kulibwaga dude la Bandari Ili watoa RUSHWA waingizwe mkenge!!Kuna wanaodai kwamba hii suala kulipeleka kwenye judicial channels ni mpango maalumu wa kulipatia baraka za kimahakama pia. Kwamba, CAT nayo iki-endorse, then mjadala kwisha!
Issue ikishakuwa boxed in by mihimili yote mitatu (executive, legislature, judiciary), then nani atakuwa na mamlaka gani ya kuhoji tena suala husika?
Je, ni kweli kwamba movement ya kupinga IGA ilitakiwa iwe channelled kwenye political platforms tu pekee? na sio kuichannel mahakamani?
-Kaveli-
Mpaka wapewe zuiyo la utekelezaji wa hiyo hukumu ya Majaji watatu ndiyo ntajua kumbe wako serious! Bila zuwiyo utekelezaji utaendelea tu!!Mtapata haki kwenye hizo mahakama za CCM?
Rufaa ni haki yao kikatiba, Swali la kujiuuliza hiyo rufaa yao ina mashiko, au ni ku just by time na kupitezeana muda tu!!??Hao wanatumwa tu kutafuta "publicity", kesi ikishtupiliwa mbali na majaji watu haina mashiko mahakama ya rufaa, huko haichukuwi muda itatupiliwa mbali, sana sana watapigwa tarehe tu.
Hiyo inaitwa "publicity stunt" hata mkiipamba vipi kwenye mitandao ya kijamii. majaji hawatazami mapambio.
Wajinga ndiyo waliwao.
Kupiga pesa tu za wafadhili. Mshiko mrefu hapo.Rufaa ni haki yao kikatiba, Swali la kujiuuliza hiyo rufaa yao ina mashiko, au ni ku just by time na kupitezeana muda tu!!??
Sawasawa kabisa.Hatua moja kuelekea mahakama za kikanda to za kimataifa...
There must be a way out there.What if CAT nayo pia ikapata 'kigugumizi' kama kile cha high court Mbeya?
I am trying to imagine kwamba the IGA in question hence ikawa completely boxed-in by mihimili yote mitatu sasa (Serikali, Bunge, na kisha Mahakama ya Rufaa Tz nayo ika-endorse kupitia judgement).
What could be a way forward... kwenda African Court? (Je ina jurisdiction?) au kurudi kwenye political platforms?
Hii DP WORLD mbona inaleta tafrani sana hapa Tz?
-Kaveli-
Bora wakate rufaa Ili kuweka kumbukumbu kwa vizazi vijavyo kuwa leo tuna aina gani ya mahakama.hata wakikata hiyo rufaa haifiki popote