Watetezi wa Bandari wafika Mahakama ya Rufaa, Shughuli imeanza upya

Watetezi wa Bandari wafika Mahakama ya Rufaa, Shughuli imeanza upya

What if CAT nayo pia ikapata 'kigugumizi' kama kile cha high court Mbeya?

I am trying to imagine kwamba the IGA in question hence ikawa completely boxed-in by mihimili yote mitatu sasa (Serikali, Bunge, na kisha Mahakama ya Rufaa Tz nayo ika-endorse kupitia judgement).

What could be a way forward... kwenda African Court? (Je ina jurisdiction?) au kurudi kwenye political platforms?

Hii DP WORLD mbona inaleta tafrani sana hapa Tz?

-Kaveli-
DP world kageuka kuwa yule mgeni aliyeimbwa na John Komba, mgeni kaingia chumba cha baba na mama (mihimili yote ya dola), mgeni kaumwaga upupu nyumba nzima iko kwenye tafrani
 
DP world kageuka kuwa yule mgeni aliyeimbwa na John Komba, mgeni kaingia chumba cha baba na mama (mihimili yote ya dola), mgeni kaumwaga upupu nyumba nzima iko kwenye tafrani

Hahaha hatari sana mkuu.

-Kaveli-
 
Uliisoma ile hukumu ?
Niisome maelezo yanini, cha msingi imetupiliwa mbali na wana hki ya kukata rufaa, sasa hao wanaokata rufaa ndiyo waisome wapate pa kukatia rufaa.

Kwa uzoefu wangu wa mahakama, mahakama ikishakaa majaji watatu, majaji wengine watatu waje kutenguwa hukumu yao ni muhali sana.

Kinachoweza kufanyika ni kuiweka sawa tu hukumu na kuitupilia mbali tena, hakuna zaidi.Hata hao mawakili uchwara wanalielewa hilo.

Nakufahamisha kijana, mkataba ule haiwezi mahakama yoyote ya Tanzania ikaubatilisha, hawawezi kupinganna na mwanasheria mkuu wa serikali, mwisho wa siku ule ni mkataba wa Kiamtaifa. Ukiubatilisha ule ina maana kama nchi umeshakiuka makubaliani yako ya Kimataifa. Jaji gani mwenye uwezo huo Tanzania.

Mahakam ya rufaa mpaka iisikilize hiyo kesi, kutakuwa na mikataba ya HGA na mikataba mingine ya ytendaji tayari, hiyo ndiyo msema kweli.

Hii IGA haina nguvu yeyote kwa mahakama zetu za ndani wala haina madhara yoyote kwa nchi zote husika. Kuing'an'ania hii ni wastage of time and resources kijinga tu.

Hiyo inahsikiwa bango na wanasiasa waliokosa sera za kuwakinaisha wapiga kura, haina maana yoyote wala haimuumii mtu kichwa, tupo hapa kutowa elimu tu. Siyo kuwa labda kuna la maana kwenye hiyo kesi.

Wengine wanoishikia bango ni mawakili uchwara amabao hawana kesi za kuwainhgizia kipato, hapo kuna pesa za kitonga kutoka kwa watu kama Anna Tibaijuka, Karamagi na wale walioumizwa na maslahi yao bandarini.

Watu wana hasira mpaka wanasema wapindue nchi, hao ndiyo wakuwashughulikia, jhawa wanaopeleka rufaa, ni wachumia tumbo tu.
 
Wale wazalendo waliofungua kesi ya kupinga Mkataba duni wa Bandari za Tanganyika na DP WORLD ya Dubai, ambao kimsingi walishinda kesi yao ya awali huko Mbeya , Kabla ya Majaji kupata kigugumizi cha kuamua, wametinga Mahakama ya Rufaa na kuanza tena Uzalendo wao wa kutetea Bandari .

Mmoja wa Walalamikaji , Kijana Mzalendo Alphonce Lusako amewasilisha taarifa yake kwa umma , kuhusu Kipute hicho kipya kinachotarajiwa kuanza wakati wowote kuanzia sasa .

Mungu ibariki Tanganyika

View attachment 2717210View attachment 2717211
Bandari ni shamba la urithi halitakiwi apewe mgeni.
 
Kuna raia hawataki kuichilia bandari kabisa,
Hawaambiwi kitu!
 
Bongo hamna mahakama za kuamua kesi za msingi zaidi ya kupotezaa mda tu
 
Nakufahamisha kijana, mkataba ule haiwezi mahakama yoyote ya Tanzania ikaubatilisha, hawawezi kupinganna na mwanasheria mkuu wa serikali, mwisho wa siku ule ni mkataba wa Kiamtaifa. Ukiubatilisha ule ina maana kama nchi umeshakiuka makubaliani yako ya Kimataifa. Jaji gani mwenye uwezo huo Tanzania.

Huu ni ukweli mchungu, kutokana na jinsi Tanzania ilivyoset utawala wake.

Lakini Je, kwa mtazamo wako with free mind, hii IGA haina mapungufu yoyote kabisa wala matobo?

Je, wasomi mbali mbali na watalaam wa Sheria (mfano TLS, Prof Shivji, n.k) walioonesha mapungufu ya IGA na wakatoa mapendekezo namna ya kurectify, wanapotosha umma?

-Kaveli-
 
Niisome maelezo yanini, cha msingi imetupiliwa mbali na wana hki ya kukata rufaa, sasa hao wanaokata rufaa ndiyo waisome wapate pa kukatia rufaa.

anasema wapindue nchi, hao ndiyo wakuwashughulikia, jhawa wanaopeleka rufaa, ni wachumia tumbo tu.
Eti IGA haina maana yoyote!!!

Kwa lugha nyingine hiki ulichoandika kimenikumbusha enzi za ujana tulivyokuwa tunawaongopea mabinti kwa ukweli huu uliopotoshwa:

'Kufanya mapenzi hakusabishi mimba ila kumwagia ndani ndo kunasababisha mimba'!,
ni kweli japo akiruhusu kuingiliwa hawezi tena kuzuia asimwagiwe ndani..

Note:
Mwarabu anabagua kwa rangi siyo dini. Hiki nimekishuhudia kwa macho mjini kwetu, nimeona kuna msikiti wa warabu na msikiti wa weusi
 
Wale wazalendo waliofungua kesi ya kupinga Mkataba duni wa Bandari za Tanganyika na DP WORLD ya Dubai, ambao kimsingi walishinda kesi yao ya awali huko Mbeya , Kabla ya Majaji kupata kigugumizi cha kuamua, wametinga Mahakama ya Rufaa na kuanza tena Uzalendo wao wa kutetea Bandari .

Mmoja wa Walalamikaji , Kijana Mzalendo Alphonce Lusako amewasilisha taarifa yake kwa umma , kuhusu Kipute hicho kipya kinachotarajiwa kuanza wakati wowote kuanzia sasa .

Mungu ibariki Tanganyika

View attachment 2717210View attachment 2717211
Mahakama ya rufaa iko chini ya serikali gani?
 
Eti IGA haina maana yoyote!!!

Kwa lugha nyingine hiki ulichoandika ni hiki kinanikumbusha enzi za ujana tulivyokuwa tunawaongopea mabinti kwa ukweli huu uliopotoshwa:
'Kufanya mapenzi hakusabishi mimba ila kumwagia ndani ndo kunasababisha mimba'!,
ni kweli japo akiruhusu kuingiliwa hawezi tena kuzuia asimwagiwe ndani..
Note:
Mwarabu anabagua kwa rangi siyo dini. Hiki nimekishuhudia kwa mjini kwetu, nimeona kuna msikiti wa warabu na msikiti wa weusi
Isome IGSA utaelewa kuwa bila HGA na concession agreements haina maana yoyote. Itaanza kuwa na maana ukomo wake ukifika na kama haijavunjwa kwa kufata sheria za Kimatifa. Unaujuwa ukomo wake, au hata hujausoma huo mkataba umegjazwa ujinga tu?
 
Mahakama ya rufaa iko chini ya serikali gani?
Nakwambia mahakama za rufaa zipo hapa kwetu moaka juu zaidi ya kwetu, lakini kumbuka, hakuna mahakama yoyote ya tanzania au ya Afrika Mashariki inayoweza kuifuta IGA hiyo bila kufatwa sheria za Kimataifa.

Someni vijana, mnaburuzwa kijinga tu. Huo ni kataba unaolindwa na sheria za Umoja wa Mataifa. tena kipo wazi kifungu hicho,kipitie halafu ukatafute hiyo "UNCITRAL" uilewe ni nini:

2. Usuluhishi wa kimahakama
(a) Ikiwa Mgogoro Uliotangazwa upo, Wanachama wanakubaliana kwamba Upande wowote unaweza, baada ya notisi iliyoandikwa kwa Mshirika mwingine, kuwasilisha suala hilo kwenye usuluhishi chini ya Kanuni za Usuluhishi za UNCITRAL.
 
Wale wazalendo waliofungua kesi ya kupinga Mkataba duni wa Bandari za Tanganyika na DP WORLD ya Dubai, ambao kimsingi walishinda kesi yao ya awali huko Mbeya , Kabla ya Majaji kupata kigugumizi cha kuamua, wametinga Mahakama ya Rufaa na kuanza tena Uzalendo wao wa kutetea Bandari .

Mmoja wa Walalamikaji , Kijana Mzalendo Alphonce Lusako amewasilisha taarifa yake kwa umma , kuhusu Kipute hicho kipya kinachotarajiwa kuanza wakati wowote kuanzia sasa .

Mungu ibariki Tanganyika

View attachment 2717210View attachment 2717211
Kijana wangu Advocate Mwakilima,mimi ni Kaka yako niliyekupokea pale Nsibirwa Hall,Makerere University, nakushauri tu kwamba ya Ngoswe muachie Ngoswe,utapigwa na SHTAKA la UHAINI ukae Jela mpaka uchakae!!ni ushauri tu
 
This is interesting...

Kwamba nchi hii Tanzania kuna msikiti wa waarabu tu? Mtu mweusi haruhusiwi kuingia wala kuswalia humo?

-Kaveli-
Mnadanganyana tu.

Misikiti siyo makanisa. Hata wewe uanaweza kuingia msikitini wakati wowote na msikiti wowote. Uislam ni mwema sana. Usiuogope. wewe mwenyewe hapo ni Muisla usiyejijuwa kuwa u Muislam. Au wewe huamini Mungu?
 
Back
Top Bottom