Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Yeye ndiye anayeng'ara.Unadhani Mwabukusi yuko Peke yake?
Kumbe mnawajua wote wanaopinga ule utopolo wenu!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeye ndiye anayeng'ara.Unadhani Mwabukusi yuko Peke yake?
Nenda kakate wewe rufaa.Je kina Boniface Mwabukusi wamefunguliwa kesi Ili kuwazuia wasikate rufaa dhidi ya Kesi ya Bandari?
Jee Dokta Slaa kawekwa kama kanyaboya tu?
Mantiki imekupiga chenga.Nenda kakate wewe rufaa.
Mantiki imekupiga chenga.
hamna kazi za kufanya mnajuwa kabisa mtaangukia pua mnaenda kufanya nini hayo ni matumizi mabaya ya akili zenuWale wazalendo waliofungua kesi ya kupinga Mkataba duni wa Bandari za Tanganyika na DP WORLD ya Dubai, ambao kimsingi walishinda kesi yao ya awali huko Mbeya , Kabla ya Majaji kupata kigugumizi cha kuamua, wametinga Mahakama ya Rufaa na kuanza tena Uzalendo wao wa kutetea Bandari.
Mmoja wa Walalamikaji , Kijana Mzalendo Alphonce Lusako amewasilisha taarifa yake kwa umma , kuhusu Kipute hicho kipya kinachotarajiwa kuanza wakati wowote kuanzia sasa.
Mungu ibariki Tanganyika
View attachment 2717210View attachment 2717211
Who are you?Mnadanganyana tu.
Misikiti siyo makanisa. Hata wewe uanaweza kuingia msikitini wakati wowote na msikiti wowote. Uislam ni mwema sana. Usiuogope. wewe mwenyewe hapo ni Muisla usiyejijuwa kuwa u Muislam. Au wewe huamini Mungu?
A Good fight! is My kind of fight.Wale wazalendo waliofungua kesi ya kupinga Mkataba duni wa Bandari za Tanganyika na DP WORLD ya Dubai, ambao kimsingi walishinda kesi yao ya awali huko Mbeya , Kabla ya Majaji kupata kigugumizi cha kuamua, wametinga Mahakama ya Rufaa na kuanza tena Uzalendo wao wa kutetea Bandari.
Mmoja wa Walalamikaji , Kijana Mzalendo Alphonce Lusako amewasilisha taarifa yake kwa umma , kuhusu Kipute hicho kipya kinachotarajiwa kuanza wakati wowote kuanzia sasa.
Mungu ibariki Tanganyika
View attachment 2717210View attachment 2717211
Tanzania hakuna misikiti ya waarabu tu anaesema hipo huyo hajui maana ya misikiti uenda sio muisilamuThis is interesting...
Kwamba nchi hii Tanzania kuna msikiti wa waarabu tu? Mtu mweusi haruhusiwi kuingia wala kuswalia humo?
-Kaveli-
Mbona unakataa tamaa mapema - zipe nafasi Mahakama zetu, usipokata rufaa unaonekana umekubaliana na maamuzi yaliyotolewa.Hao wanatumwa tu kutafuta "publicity", kesi ikishtupiliwa mbali na majaji watu haina mashiko mahakama ya rufaa, huko haichukuwi muda itatupiliwa mbali, sana sana watapigwa tarehe tu.
Hiyo inaitwa "publicity stunt" hata mkiipamba vipi kwenye mitandao ya kijamii. majaji hawatazami mapambio.
Wajinga ndiyo waliwao.
Sawa. Majaji Chawa wa Mama hawawezi mwangusha MamaWewe hata upambe vipi, kesi inajulikana imetupiliwa mbali na kukata rufaa ni haki yao, sasa huko rufaa ndiyo tunawajulisha kabisa, kesi ikishakaa majajai watatu, hiyo peke yake ni kama rufaa. Kwa hiyo mahakama ya rufaa nayo wanaiweka sawa wanatupilia mbali. Simpo.
ndio tutajua kwamba hatuna Bunge na pia hatuna mahakama.Kuna wanaodai kwamba hii suala kulipeleka kwenye judicial channels ni mpango maalumu wa kulipatia baraka za kimahakama pia. Kwamba, CAT nayo iki-endorse, then mjadala kwisha!
Issue ikishakuwa boxed in by mihimili yote mitatu (executive, legislature, judiciary), then nani atakuwa na mamlaka gani ya kuhoji tena suala husika?
Je, ni kweli kwamba movement ya kupinga IGA ilitakiwa iwe channelled kwenye political platforms tu pekee? na sio kuichannel mahakamani?
-Kaveli-
ikifika mahakama ya Rufani, maamuzi yakakatiwa rufaa, maana yake watakaa majaji watatu, ikishindikana watakaa watano, ikishindikana tena watakaa majaji Saba, mwisho!Hivi Rufaa unaweza ukaikata mara ngapi kama hukurizishwa na msururu wa maamuzi ya kushindwa kesi ?