Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 5,203
- 3,913
Wanataka baadae wafungue uzi wa kuomba michango kwa ajili ya mawakili kuendesha kesi.hamna kazi za kufanya mnajuwa kabisa mtaangukia pua mnaenda kufanya nini hayo ni matumizi mabaya ya akili zenu
Hiyo nayo imeendaKwa kifupi, BANDARI NI KAA LA MOTO,
Alishinda kivipi na kesi ilitupwa au vipi hebu fafanua huo ushindi na kama alishinda huko Mahkama ya Rufaa munaenda fanya nini na nyie mulishinda?Ndugu Allen waeza kuwa sawa.
Case ya Awali Mwabukusi alipongezwa na judges Kwa ufundi uliotukuka,
Na case Ile alishinda, maybe wameona ni Bora asirudi court wabaki wengine.
Bt naamini Bado benchi Lina Wanasheria mahiri zaidi!!
Mungu yupo pamoja naoHistoria itawakumbuka wasikate tamaa km haki iko iko tu
Kabisa naunga mkonoMtuwekee utaratibu wa kuchangia gharama za kesi Sisi wazarendo hatujachoka tupo nyuma yenu
Wazalendo waliibuka kidedea. Kulikuwa hakna namna Majaji kutupilia mbali bila kutamka hivyo.Judges kukiri mkataba unakinzana na SHERIA za ndani na Katiba ni ushindi Kwa wazalendo ingawa alikabidhiwa asostahili ndomana ya rufaa
Rejea thread;Alishinda kivipi na kesi ilitupwa au vipi hebu fafanua huo ushindi na kama alishinda huko Mahkama ya Rufaa munaenda fanya nini na nyie mulishinda?
Tuendelee kutea rasilimali zetu,bigup sana wazalendo wa kweli.Wale wazalendo waliofungua kesi ya kupinga Mkataba duni wa Bandari za Tanganyika na DP WORLD ya Dubai, ambao kimsingi walishinda kesi yao ya awali huko Mbeya , Kabla ya Majaji kupata kigugumizi cha kuamua, wametinga Mahakama ya Rufaa na kuanza tena Uzalendo wao wa kutetea Bandari.
Mmoja wa Walalamikaji , Kijana Mzalendo Alphonce Lusako amewasilisha taarifa yake kwa umma , kuhusu Kipute hicho kipya kinachotarajiwa kuanza wakati wowote kuanzia sasa.
Mungu ibariki Tanganyika
View attachment 2717210View attachment 2717211
"Ondo Nene kimsingi walishinda. Sema kimsingi walishindwa. Sheria siyo kama siyo ngonjera kama unavyodhani hata Lisu kaufyata mana kaona hukumu Iko sawasawa. Ingekuwa kila mtu anauwezo wa kujua nani anapaswa kushinda au nani ashindwe basi kila mtu angekuwa mwanasheria kitaama. Sijui wewe mwalimu umejuaje kama kimsingi walishindwa. Au umetumia logic tu bila sheria?Wale wazalendo waliofungua kesi ya kupinga Mkataba duni wa Bandari za Tanganyika na DP WORLD ya Dubai, ambao kimsingi walishinda kesi yao ya awali huko Mbeya , Kabla ya Majaji kupata kigugumizi cha kuamua, wametinga Mahakama ya Rufaa na kuanza tena Uzalendo wao wa kutetea Bandari.
Mmoja wa Walalamikaji , Kijana Mzalendo Alphonce Lusako amewasilisha taarifa yake kwa umma , kuhusu Kipute hicho kipya kinachotarajiwa kuanza wakati wowote kuanzia sasa.
Mungu ibariki Tanganyika
View attachment 2717210View attachment 2717211
Duh! Kwa maana hiyo ndiyo maana kesi za Tz hazina mwisho!![emoji2]ikifika mahakama ya Rufani, maamuzi yakakatiwa rufaa, maana yake watakaa majaji watatu, ikishindikana watakaa watano, ikishindikana tena watakaa majaji Saba, mwisho!