Watetezi wa Bandari wafika Mahakama ya Rufaa, Shughuli imeanza upya

Watetezi wa Bandari wafika Mahakama ya Rufaa, Shughuli imeanza upya

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Wale wazalendo waliofungua kesi ya kupinga Mkataba duni wa Bandari za Tanganyika na DP WORLD ya Dubai, ambao kimsingi walishinda kesi yao ya awali huko Mbeya , Kabla ya Majaji kupata kigugumizi cha kuamua, wametinga Mahakama ya Rufaa na kuanza tena Uzalendo wao wa kutetea Bandari.

Mmoja wa Walalamikaji , Kijana Mzalendo Alphonce Lusako amewasilisha taarifa yake kwa umma , kuhusu Kipute hicho kipya kinachotarajiwa kuanza wakati wowote kuanzia sasa.

Mungu ibariki Tanganyika

Screenshot_2023-08-14-15-09-19-1.jpg
Screenshot_2023-08-14-15-09-09-1.jpg
 
What if CAT nayo pia ikapata 'kigugumizi' kama kile cha high court Mbeya?

I am trying to imagine kwamba the IGA in question hence ikawa completely boxed-in by mihimili yote mitatu sasa (Serikali, Bunge, na kisha Mahakama ya Rufaa Tz nayo ika-endorse kupitia judgement).

What could be a way forward... kwenda African Court? (Je ina jurisdiction?) au kurudi kwenye political platforms?

Hii DP WORLD mbona inaleta tafrani sana hapa Tz?

-Kaveli-
 
Wale wazalendo waliofungua kesi ya kupinga Mkataba duni wa Bandari za Tanganyika na DP WORLD ya Dubai , ambao kimsingi walishinda kesi yao ya awali huko Mbeya , Kabla ya Majaji kupata kigugumizi cha kuamua , wametinga Mahakama ya Rufaa na kuanza tena Uzalendo wao wa kutetea Bandari .

Mmoja wa Walalamikaji , Kijana Mzalendo Alphonce Lusako amewasilisha taarifa yake kwa umma , kuhusu Kipute hicho kipya kinachotarajiwa kuanza wakati wowote kuanzia sasa .

Mungu ibariki Tanganyika

View attachment 2717210View attachment 2717211
Tunaanzaaa upyaa alisema mh na aliekua mbunge , alafu uyu mzee yuko wapi simsikii aliitwa Bwege kama nimekosea nisamehewe na nikosoeni kwa staha , ile anapenda mama yenu
 
Back
Top Bottom