Watia nia ni wengi kuliko wapiga kura

Watia nia ni wengi kuliko wapiga kura

torosi

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2020
Posts
1,114
Reaction score
2,088
Wana JF

Nlichokiona, ni kuwa watia nia ni wengi kuliko wapiga kura. Bunge lishakuwa shamba la bibi, kila mtu sasa anaona ndio ajira inayokua pesa na mtaji bila kutoa jasho lolote

Kuna maisha baada ya uchaguzi
 
Nimetoka kumwambia Mtu few minutes ago 😂😂😂😂
 
Wana JF

Nlichokiona, ni kuwa watia nia ni wengi kuliko wapiga kura. Bunge lishakuwa shamba la bibi, kila mtu sasa anaona ndio ajira inayokua pesa na mtaji bila kutoa jasho lolote

Kuna maisha baada ya uchaguzi
Sifa ni kujua kusoma na kuandika. Hii sifa wanayo watanzania wengi sana, ni tofauti na ajira zingine nyingi ambazo zinahtaji walau elimu ya kidato cha 4.
 
Back
Top Bottom