Uchaguzi 2020 Watia nia watumishi wapigiwa simu kurejesha mikopo yao huku mshahara ukiwa umesimama

Uchaguzi 2020 Watia nia watumishi wapigiwa simu kurejesha mikopo yao huku mshahara ukiwa umesimama

makwagejo

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2019
Posts
361
Reaction score
268
Kwanza poleni sana watia nia watumishi kwa kukosa mishahara miezi miwili mfululizo

Nimesikia mmepigiwa simu kutoka bank tofauti tofauti kurejesha marejesho ya mikopo yenu personaly bila kujali hamna mishahara au la, poleni sana, tena sana.

Maelekezo ya awali kabla ya 2015, ikikua kutangaza nia siyo kosa isipokua kuteuliwa ndio shughuli yako inaanzia hapo kuacha kazi, na kulipa madeni unayodaiwa walikua na maana kubwa sana. Sasa leo maafisa wa mikopo wanawafuata watumishi hawa kwa kuwapigia simu warejeshe fedha na hawana kazi na hawajateuliwa kabisaaa, kazi ipo

Pamoja na makundi haya wakiwemo walimu na hari zao mbaya sasa wanakamatwa madeni, na mkopo ili ulipwe na bima aidha umepata ulemavu au umekufa, sasa watumishi hawa hawajapa ulemavu na hawajafa.

Cha msingi mliomba ruhusa na mliendelea kuwepo kazini na kusaini daftari la mahuzulio mlikubali vip kuandika barua ya likizo isiyokua na malipo? Ushahidi upo lakini kihelehele chenu watumishi kimewaponza, mlikimbilia ukurugenzi na u-DC sasa mmeangukia kutafuta marejesho mtaani kulipa madeni na inabidi mlipe kwa kweli.

Asanteni sana kwa kusoma na kusikiliza
 
Serikali nzima imejaa wahuni watupu rais atashauriwa vizuri na mhuni ?

kuna mambo rais hapaswi kushauriwa ila anapaswa kujiongeza yeye kwa akili yake mwenyewe mfano swala la mishahara kwa watumishi rais anapaswa ajue watumishi wana hali mbaya bila kushauriwa
 
Kuna mambo mengi ambayo anapaswa kaonyesha uongozi wake lakini anabehave kama kamanda wa polisi.

Kifupi ni kwamba huyu mzee hafai kuwa rais wa nchi hii basi tu.

sahihi,na anapokwama zaidi ni kutoa kauli za mambo ya aibu,nasikia leo pia ameongea mambo ya aibu
 
sahihi,na anapokwama zaidi ni kutoa kauli za mambo ya aibu,nasikia leo pia ameongea mambo ya aibu
Mimi hata kumsikiliza sina muda tena hajawahi kuwa na hotuba yenye mwelekeo wa matumaini kwa taifa zaidi ya makaripio na utani wa kuudhi
 
Hapana habari za ndani zinasema watu wa usalama walimkazia sana baadae akawaomba sana wakamruhusu baada ya muda wakaenda tena kumtoa kwa nguvu jiwe kuna baadhi mpaka wamelia kwa tukio hilo jpm zikamfikia jukwaani unasikia akamrisha kwa hasira bashite arudishwe haraka sana watu wa usalama wakaaza kumpigia simu hapokei alikwisha ondoka nimeumia sana

hao jamaa si kibarua kimeota nyasi ? ila watu wa usalama wapuuzi sana,mtu amekaa na rais miaka zaidi ya minne leo hawamuamini
 
hao jamaa si kibarua kimeota nyasi ? ila watu wa usalama wapuuzi sana,mtu amekaa na rais miaka zaidi ya minne leo hawamuamini
Huyu hapa
IMG_20200829_230326.jpeg
IMG_20200829_230309.jpeg
 
Back
Top Bottom