makwagejo
JF-Expert Member
- Nov 25, 2019
- 361
- 268
Kwanza poleni sana watia nia watumishi kwa kukosa mishahara miezi miwili mfululizo
Nimesikia mmepigiwa simu kutoka bank tofauti tofauti kurejesha marejesho ya mikopo yenu personaly bila kujali hamna mishahara au la, poleni sana, tena sana.
Maelekezo ya awali kabla ya 2015, ikikua kutangaza nia siyo kosa isipokua kuteuliwa ndio shughuli yako inaanzia hapo kuacha kazi, na kulipa madeni unayodaiwa walikua na maana kubwa sana. Sasa leo maafisa wa mikopo wanawafuata watumishi hawa kwa kuwapigia simu warejeshe fedha na hawana kazi na hawajateuliwa kabisaaa, kazi ipo
Pamoja na makundi haya wakiwemo walimu na hari zao mbaya sasa wanakamatwa madeni, na mkopo ili ulipwe na bima aidha umepata ulemavu au umekufa, sasa watumishi hawa hawajapa ulemavu na hawajafa.
Cha msingi mliomba ruhusa na mliendelea kuwepo kazini na kusaini daftari la mahuzulio mlikubali vip kuandika barua ya likizo isiyokua na malipo? Ushahidi upo lakini kihelehele chenu watumishi kimewaponza, mlikimbilia ukurugenzi na u-DC sasa mmeangukia kutafuta marejesho mtaani kulipa madeni na inabidi mlipe kwa kweli.
Asanteni sana kwa kusoma na kusikiliza