Watibeli Hatupigagi Wake Zetu, na Binti zetu hawapigwi

Ukiona Mwanaume anampiga Mwanamke ujue huyo mwanaume alilelewa kichokoraa, familia ya hovyo hakuna msosi wa uhakika, baba mlevi anampiga mama kila leo, au mama muuza pombe hafatilii familia, mtoto lazima awe na roho ya kikatili hadi uzeeni kwake,

Wazazi kabla hamjaozesha Binti zenu kagueni hizo familia wanazoenda hata kama ni kijiji cha matopeni huko tumeni watu kufatilia historia ya huyo Mwanaume.
 
Swali linakuja, Kwa nini umpige Mkeo/Mumeo?
Kama mmeshindwana na hakuna kusikiliza a si muachane
 
Mwanamke akianza maonyesho ya kijinga jinga lazima umzabe vibao akili zimkae sawa.
 
Kanitukania mamangu nikatia mibanZi akaondoka mwenyewe Nana hatorudi tena kwangu
 
Kumfundisha ndio jibu lao ila haijengi. It's creating your own destruction.

Usipomuua ukafungwa basi yeye atakuua

Mimi binafsi huwa nasema mwanaume akinipiga basi hio siku ahakikishe ananiua kabisa,ila kama ananipapasa ipo siku yake ntamuua mimi tena siku asio tarajia
Asante Mungu mume sio mpigaji,huyu mwanaume kwenye ukomavu wa kihisia nimemkubali
 
Nikajua hujaolewa nikuchukue.

Au niwe mchepuko wako?
 
Ukiona Mwanaume anampiga Mwanamke ujue huyo mwanaume alilelewa kichokoraa, familia ya hovyo hakuna msosi wa uhakika, baba mlevi anampiga mama kila leo, au mama muuza pombe hafatilii familia, mtoto lazima awe na roho ya kikatili hadi uzeeni kwake,

Wazazi kabla hamjaozesha Binti zenu kagueni hizo familia wanazoenda hata kama ni kijiji cha matopeni huko tumeni watu kufatilia historia ya huyo Mwanaume.
Jabisa dada

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
 
Kanitukania mamangu nikatia mibanZi akaondoka mwenyewe Nana hatorudi tena kwangu
Hahahahah daah! Huyo alikudharau kabisa na kuidharau kabisa familia yako... alitukana lile tusi kubwa la kiungo kinachotumika kupitishia mtoto?

Back
Top Bottom