Watibeli Hatupigagi Wake Zetu, na Binti zetu hawapigwi

Watibeli Hatupigagi Wake Zetu, na Binti zetu hawapigwi

Mimi binafsi huwa nasema mwanaume akinipiga basi hio siku ahakikishe ananiua kabisa,ila kama ananipapasa ipo siku yake ntamuua mimi tena siku asio tarajia
Asante Mungu mume sio mpigaji,huyu mwanaume kwenye ukomavu wa kihisia nimemkubali
Ukizingua utapigwa tu. Na hakuna kitu utafanya

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
 
Mwanaume mwenye ndoa ya 10+yrs ambaye hajawahi kumnyooshea mkewe mkono anyooshe kidole tumpe maua yake tafadhali.
 
Jamaa Sasa haeleweki
Mara hakuna 50/50
Leo anahoji Mwanaume akikosea afanyweje?

Usimpige Mkeo ni wazo zuri ila ukishaingia kwenye mahusiano nao, ndio utajaribiwa kama Mwana wa Nazareth kule Uyuda.

Usipompiga na kumkemea jiandae ukaliwe kichwani na dharau nyingi utaonyeshwa.
Ulisema umpige basi wewe ni Mume mkatili, mbaya na haufai

Rasmi jamaa leo ameingia kwenye trick za Wanawake ila hakuna uhuru kwa hivyo viumbe.
Usipo mtawala basi jiandae na maangamizi

Mimi nakudunda vizuri tu, na siku nitakayo kupiga nitahakikisha hutembei
Baada ya hapo ukiamua kuondoka au kubaki ni juu yako
 
Kimsingi hakuna sheria wala Haki ya kumpiga mtu mwingine iwe ni MKE au Mume.
Msingi Mkuu wa utibeli ni Upendo, Akili, Haki, utu, ukweli, na wajibu.

MKE/Mume hapigwi. Kama mmeshindwana mnaachana tuu. Kuwajibishana sio mpaka mpigane
 
Kwa hiyo mkuu you are last option ni kuachana!?

Mimi nina mtazamo tofauti kabisa
Kwangu kuachana ni last option
Mwanamke ni hana tofauti na mtoto
Ukikaa ndani lazima akuchokoe wenyewe wanaita kukupima
Hivyo onyesha misimamo yako kabisa
Huku ukimwambia hapa ni red line
Ila ninachowajua lazima atataka kuvuka ili aone utafanyaje.

Ukimwacha na kujifanya Gentleman
Jiandae na vimbwanga vyake.

N.B unaweza ukatumia saikolojia torture kwa mara ya kwanza, akizid huna namna ila hakikisha isiwe kwa namnaya ukatili,
Kuna namna mpenzi hukumbushwa kama naye sio mtata
 
Imeandikwa "UKIKAIDI UTAPIGWA TU"
Watibeli wanatokea mkoa gani mkuu
 
WATIBELI HATUPIGI WAKE ZETU, na BINTI ZETU HAWAPIGWAJI.

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.

Sisi Watibeli bhana ukiishi na Sisi unaweza fikiri hatuna hasira. Yaani mambo yetu tunayasuluhisha simple simple tuu. Yaani mpaka ugombane na Taikon basi ujue umemchokoa Sana, tena Sana. Hii ni Kwa sababu Watibeli ni Watu wa Amani. Tunapenda Amani na tunajiepusha na Shari.

Ni ngumu Mwanamke kuishi na Mtibeli akakosa Furaha. Hiyo haijawahi kutokea, tunasubiri siku itakapotokea tuite siku hiyo siku ya maajabu ya Dunia.

Watibeli hatuwapigi Wake zetu, na pia tumefundisha Binti zetu kutokupigwa. Vijana wakiume tumewafundisha kutowapiga Wanawake watakaowaoa.

Hakuna sababu hata Moja itakayomfanya Mtibeli ampige MKE wake, hata sababu Moja hakuna.
Mwanamke akiwa mkaidi Sana Watibeli tunamuacha, yaani Sisi kuandika Talaka ni dakika moja tuu.
Hatuna mioyo mizito katika utoaji wa Talaka. Kuliko umpige Mtu ni akheri kuachana. Hivyo ndivyo tulivyo.

Kwanza Sisi wenyewe hatupendi kupigwa. Ndio maana tunaitwaga Mr. Perfect Kwa sababu tunapenda ukamilifu(ingawaje sio wakamilifu) tunapenda kufanya mambo Kwa usahihi ili tusimkere yeyote.
Lolote ambalo hatutaki kufanyiwa hatuwezi kuwafanyia wengine. Ndio maana hatupigi wake zetu Kwa sababu Sisi wenyewe hatupendi kupigwa.

Na kamwe hatutamvumilia yeyote atakayethubutu kutupiga.

Ni marufuku na mwiko Kwa Binti zetu kupigwa hata Kofi moja Kwa kisingizio chochote kile. Hatunaga kitu inaitwa Msamaha kwenye kosa kama Hilo. Hakika lazima mpigaji awajibishwe kisheria, na kama sheria itakuwa inalegalega basi Kwa namna nyingine ambayo itamfanya mpigaji asitudie tena hata Kwa Watu wengine.

Watibeli wanapigana Kwa sababu kuu zifuatazo;
1. Umiliki wa Ardhi iwe ya familia, au Taifa Lao.
2. Familia kuguswa na maadui

Watibeli Sisi hakuna tofauti ya mtoto wa kiume na mtoto wa kike. Watoto wote NI sawasawa tuu. Ukioa Binti ya Tibeli basi jua umeolewa na huyo mtoto atakuwa ni Mtibeli upende usipende. Ukoo utatoka Kwa Watibeli. Atakuwa Mkeo na atakuhudumia kama MKE lakini elewa familia yenu itatambulika kama ukoo wa Tibeli.

Huwezi mpiga MKE wako hasa akiwa Mtibeli ukachekewa, hautachekewa asilani. Utawajibika Kwa namna ambayo haitafurahisha kama ulivyofanya.

Kumpiga mtu NI kosa la jinai. Ni udhalilishaji, ni dharau kubwa. Na kamwe huwezi mdharau Binti ya Watibeli Wakati Ndugu zake wapo.

Ndio maana Binti zetu tunawafunza kujiheshimu Kwa kujitegemea kisha kuheshimu wa Waume zao Kwa kuwa Wasaidizi. Na kamwe hatujawafundisha kuwa misukule na Watumwa.

Taikon nimemaliza, mwenye swali aweza kuuliza.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Usipompiga Mkeo hakika humpendi kwani umeamua kumtelekeza apotee. Mwanamke na Apigwe maadam Fimbo haziui.
 
Kwa hiyo mkuu you are last option ni kuachana!?

Mimi nina mtazamo tofauti kabisa
Kwangu kuachana ni last option
Mwanamke ni hana tofauti na mtoto
Ukikaa ndani lazima akuchokoe wenyewe wanaita kukupima
Hivyo onyesha misimamo yako kabisa
Huku ukimwambia hapa ni red line
Ila ninachowajua lazima atataka kuvuka ili aone utafanyaje.

Ukimwacha na kujifanya Gentleman
Jiandae na vimbwanga vyake.

N.B unaweza ukatumia saikolojia torture kwa mara ya kwanza, akizid huna namna ila hakikisha isiwe kwa namnaya ukatili,
Kuna namna mpenzi hukumbushwa kama naye sio mtata
Namna Gani?
 
Jamaa Sasa haeleweki
Mara hakuna 50/50
Leo anahoji Mwanaume akikosea afanyweje?

Usimpige Mkeo ni wazo zuri ila ukishaingia kwenye mahusiano nao, ndio utajaribiwa kama Mwana wa Nazareth kule Uyuda.

Usipompiga na kumkemea jiandae ukaliwe kichwani na dharau nyingi utaonyeshwa.
Ulisema umpige basi wewe ni Mume mkatili, mbaya na haufai

Rasmi jamaa leo ameingia kwenye trick za Wanawake ila hakuna uhuru kwa hivyo viumbe.
Usipo mtawala basi jiandae na maangamizi

Mimi nakudunda vizuri tu, na siku nitakayo kupiga nitahakikisha hutembei
Baada ya hapo ukiamua kuondoka au kubaki ni juu yako
Sijaona kokote katika mwili wa mke panapofaa kupigwa.

Msipige wake zenu🙏
 
Back
Top Bottom