Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
WATIBELI TUNAJUA PESA INAUMA KULIKO MAPENZI NDIO MAANA HATUMGHARAMIKII MWANAMKE.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Vijana waliowahi kuwasiliana na mimi kila mara nawaambia kwenye mahusiano, pale wanapojiweka karibu na wanawake. Kitu kikubwa wanachotakiwa kukilinda kuliko kitu chochote ni PESA YAO.
Pesa inauma kuliko mapenzi.
Pesa ni jawabu la mambo yote.
Sasa unapolitoa jawabu wewe unatafuta kubaki na maswali yatakayokufanya uchanganyikiwe.
Mimi Mtibeli, naam Robert, ni bora unisaliti mara elfu kumi kwani najua nikikukuta nitakufukuza na wala sitaumia. Lakini sio ucheze na hela yangu. Uchezee hela yangu.
Hela ni jawabu.
Hela ni silaha.
Hela ni power.
Usiwekeze kwa mwanamke hilo nilishalisema tangu nipo kijana sasa hivi naanza kuzeeka. Na ninazidi kusisitiza.
Ndio maana sisi Watibeli hatuoi wanawake mabwege, hatuwezi kuwa na mwanamke tegemezi ili tusipoteze pesa(nguvu zetu) nyingi kuwafanyia maintenance.
Ndio maana mara kwa mara nawaambia vijana msioe wanawake wasio na kazi. Lengo sio ili wawasaidie au wawape pesa. Nope! Lengo ni kwamba wasinyonye power zenu.
Mwanamke awe na uwezo wa kujilisha, kujivalisha, kuendesha maisha yake. Huyo hawezi kukuumiza hata Iweje.
Kwa sababu hutumii pesa zako. Unatumia zake kumlisha.
Wewe ni kama serikali.
Serikali ili iwe serikali lazima iwe na pesa na pesa inatoa kwa wananchi.
Na serikali haiwezi kuwekeza sehemu isiyopata pesa. Yaani haiwezi kujenga barabara sijui huduma sehemu isiyo na maslahi. Ndivyo hivyohivyo kijana. Usiwe mjinga.
Ukifuata yale ninayokuagiza kamwe maisha hayawezi kukusumbua. Kamwe!
Unapompa mwanamke pesa.
Humpi tuu karatasi zile.
Unampa nguvu zako.
Unampa muda wako.
Unampa Akili yako.
Unampa Jasho lako.
Fikiria umempa mwanamke laki mbili. Jiulize ulitumia au unatumia muda gani kuipata hiyo laki mbili.
Ulitumia au unatumia nguvu na akili kiasi gani kuipata hiyo hela.
Then wewe unapata kitu gani kutoka kwa huyo mwanamke?
Zamani na hii ni siri nakupa kwa sababu wengi wenu hamjaishi na wazee. Sisi tuliishi na wazee wa kabla ya uhuru tumefundishwa baadhi ya hizo ishu.
Wanawake walitumika kuzalisha mali kwaajili ya wanaume. Sio wanaume wazalishe mali kwaajili ya wanawake.
Mzee anaoa wake watano, yeye anawatumia kujiongezea himaya. Wanalima, wanachunga, wanazalisha mali mzee anajipatia utajiri. Bila huruma lakini kwa akili.
Ndoa, familia na serikali haziendeshwi kwa hisia au Mapenzi. Zinaendeshwa kwa Akili, mipango na mikakati. Usiwe mjinga kijana.
Siku hizi wanawake ndio wamewageuza wanaume wajinga misukule.
Sasa uwakute hao wanaume huko mabarabarani kama watumwa vile, wamechoka, wamevaa matambara, kula hawali vizuri kisa wanamgharamikia mwanamke.
Msiwasikilize wasanii waimbaji, mara nyingi upeo wao wa akili upo chini. Nyimbo zao zipo kiushambenga na kimapenzi mapenzi.
Mapenzi hayaumizi. Kinachoumiza ni ujinga wako uliokufanya utumie gharama kubwa kutoa pesa au kitu cha thamani ambacho ungetakiwa ukilinde kwa gharama yoyote.
Kwenye mapato yako.
Toa asilimia kumi ya 10% ya mapato yako kwaajili ya huyo mpenzi wako.
Pili, usimgharamie mwanamke asiyeweza kujigharamia. Huyo atakuumiza tuu utake usitake.
Usitake sifa za kijinga kwa mwanamke.
Kutoa pesa sio sifa ni kujimaliza nguvu kijana.
Huyo unayempa pesa kuna wenzako tunambandua bure kabisa tena kwa gharama zake.
Tena wengine wanalipia usafiri, lodge na chakula. Wewe kwa nini utoe nguvu zako kwa kitu kisichohitaji nguvu?
Usije ukawa wale watumwa, wanaume mabwege kwamba huo ndio uanaume. Kuwa mwanaume sio kuwa bwege nazi. Kutoa nguvu zako(pesa zako) sehemu ambayo wenzako wanajipigie kirahisi.
Mwanaume anayeona kutoa pesa ndio uanaume. Akili yake inafanana kwa kiwangi kikubwa na wale walokole au waumini wanaoamini kutoa Sadaka za kujimaliza ndio kuonyesha wanaimani na wanampenda Mungu na kutimiza wajibu wao. Na manabii Koko, manabii uchwara wanawajaza kama wanawake wanavyowajaza wanaume mabwege kwamba mwanaume lazima uhenyeke na kutoa pesa kwa mwanamke wako.
Wewe unatoa pesa yeye hana mikono? Hana akili?
Yeye pesa zake anakupaga?
Msiwe wajinga wapuuzi nyie.
Sisi Watibeli ni bora utudharau na hela yetu hujaila. Kuliko utupe heshima wakati pesa yetu umeila. Aiseeh! Utakuwa umetuweza sana. Kula pesa yetu.
Heshima yako haitusaidii kitu chochote.
Ila pesa inatusaidia kwenye mambo mengi sana.
Vijana, utakapooa ndipo unabeba majukumu ya kifamilia kama Baba. Unatunza familia yako.
Lakini pia mwanamke wako(mkeo) lazima naye atoe pesa. Lazima azalishe.
Na uhakikishe pesa yake ipo ndani ya uratibu wako.
Unaijua iko wapi, inafanya nini, usiwe mjinga.
Usiwe yale majianaume mabwege. Linatunza mke sana huku lenyewe limejichokea.
Bwege wewe.
Alafu mwisho wa siku yanalalamika oooh! Wanawake hawana shukrani. Sasa utakuwa na shukrani kwa mtu mpumbavu asiyejitambua. Asiyejua yeye ni nani?
Wewe uliwahi kuona Raisi au mtawala anavaa marapu rapu kuliko Wananchi wake? Uliwahi kuona popote?
Wewe ndiye mtawala, ni kichwa cha nyumba. Vaa na ishi kama mtawala bro.
Wewe huko mabarabarani ukimuona Samia au Nchimbi, au Mwigulu, au Muliro, na viongoz wengine wakiwa wamechoka kama wewe.
Uliwahi kuona kiongozi anagharamia wananchi wake kuliko anavyojigharamia yeye?
Uliwahi kuona mshahara wa kiongozi ukawa mdogo kuliko wachini yake mjinga wewe?
Jitambue wewe!
Ukimnunukia kiatu cha 20k chako kiwe cha 50k
Ukimnunulia nguo ya 50k wewe yako iwe 100k.
Usiwe mjinga. Upendo haimaanishi uwe mjingamjinga.
Linda pesa kuliko Mwanamke.
Nimemaliza.
TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam