Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Nakumbuka nilikuwa nikirusha picha ya Ulimwengu watu wanatamani kufa wanatoa povu jamani kama mtu haumfikii kwa physical appearance si unanyamaza tu mbona hata sisi kina Agness wametuzid maumbo na tuliwapenda tu,,basi nilikuwa nikimrusha Ulimwengu kuna watu hawalali khaaa muacheni "he is my best friend"
Nna furaha pia mtu mkubwa humu ndani kunifollow kwenye page yangu ya insta hata sijaamini wozaaaaaaaa
Heko na shangwe kwa mme wangu G (soon nitamtaja)umenifanya nakuwa na furaha sana unanifanya naiona dunia yangu,unanifanya nakuona wa thamani zaidi kuliko mtu yeyote "Nakupenda G ,Nakupenda baba VSN" unajua nakupenda hata usipoandika humu leo wala kesho maana mim ndio sitaki ungekua ushajisema zamani tu ila sitaki mpaka nitakapotaka mimi wajua venye unavyonisikiliza mkeo yaan damu zetu zimepatana hakuna mfano hata apite jini mkata kamba gani hatoweza kuvunja maagano yetu tuko vizurii na tumejipanga vizuri tu ,kila mtu apambane na huba lake wala hakuna shida kabisa