and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,477
- 40,278
Ikiwa mtu atatoa ushahidi kwenye tume pendwa analindwaje dhidi ya watekaji?
Acheni utapeliKimeshaumana huko. Jichanganye upotee
View attachment 3522552
Ikiwa mtu atatoa ushahidi kwenye tume pendwa analindwaje dhidi ya watekaji?
Serikali haramu ukitoa ushahidi umeenda na majiKimeshaumana huko. Jichanganye upotee
View attachment 3522552
Soma post #3 na #2Kimeshaumana huko. Jichanganye upotee
View attachment 3522552
🤣🤣🤣🤣 JF Raha sanaUnamuuliza hili swali nani?
Kwa nini wasiripoti polisi wakati wakumtuhumu yupo. ? Mtuhumiwa aliyepokea video kutoka kwa sista wa mabibo!!! Msitunge, kama ni kweli washauri familia vizuri.Kimeshaumana huko. Jichanganye upotee
View attachment 3522552
Kwa nini wasiripoti polisi wakati wakumtuhumu yupo. ? Mtuhumiwa aliyepokea video kutoka kwa sista wa mabibo!!! Msitunge, kama ni kweli washauri familia vizuri.
Wanalindwa na TUME inayohoji Mkuu ya Othman Chande. #Oghopa ,Ni khatare ,we jichanganye.Ikiwa mtu atatoa ushahidi kwenye tume pendwa analindwaje dhidi ya watekaji?
Hujasoma bandiko langu objectively! Majibu ya ziada itakuwa malumbano yasiyo ya hoja badala ya mjadala wenye tija! Kwa kifupi Kuna uwezekano wa kushinda kwa kutumia mbinu za mchezo wao.
SURA NGUMU , JINA LA KUTISHA ILA CHA KUSHANGAZA NI KUWA UMESHIKWA AKILI NA WANAWAKE . JITAMBUE BRO : JITAFAKARI KABISA KAMA MWANAUME UTAENDELEA KUISHI DUNIANI KULISHWA MATANGO PORI.Wanalindwa na TUME inayohoji Mkuu ya Othman Chande. #Oghopa ,Ni khatare ,we jichanganye.
View attachment 3522556
Mkuu umesahau kauli ya Chalamila? Si alisema wanakusanya CCTV footage za sehemu ambazo wahalifu walivunja kisha wataanza kuwakamata ,sasa wanahitaji tena nini kwa wananchi? Kama wanataka video clips zipo kwa account ya Mange zote(Account ya Twita - X) au kama vipi wameziweka kwenye cloud wakapakue zipo zaidi ya 300.DUNIANI KOTE MTU ANAESHIRIKIANA NA SERIKALI KWA MANUFAA MEMA ANALINDWA . SASA UNA USHAHIDI WA WATU WANAOCHOMA VITU, WALIOIBA , WALIOANZISHA FUJO, WAHAMASISHAJI , MIAMALA YA MALIPO KWA WATU NA VIKUNDI, WATU WALIOFANYA HAMASA MTAANI N.K UNAOGOPA NINI ? WATU WENGI WALIKUWA KWENYE MAPINDUZI , SERIKALI IMEZUIA UHARAMU HUO KWA NAFASI AMBAYO KILA MTU ANGEFANYA KUNUSURU TAIFA LETU PENDWA . UNAOGOPA NINI NDUGU MWANANCHI ? SHAHIDI HULINDWA . TOA USHIRIKIANO