Watoa ushahidi Mauaji ya Oktoba 29,30 & 31 wanalindwaje?

Watoa ushahidi Mauaji ya Oktoba 29,30 & 31 wanalindwaje?

SURA NGUMU , JINA LA KUTISHA ILA CHA KUSHANGAZA NI KUWA UMESHIKWA AKILI NA WANAWAKE . JITAMBUE BRO : JITAFAKARI KABISA KAMA MWANAUME UTAENDELEA KUISHI DUNIANI KULISHWA MATANGO PORI.

Tango pori gani mkuu? Ulishaenda Mabibo hostel kwenye hiyo steshonari na kujiridhisha kwamba ni TANGO PORI? Kama na wewe huna facts basi usipinge taarifa kwakuwa imetolewa mtandaoni na hao wanawake unaowasema wao wametahadharisha tu maana aliyetumiwa si umeona hap imeanza na "Habari Kaka"?
 
Uhuru kabla ya ushahidi uko guaranteed... ila baada wataamua kina Mafwele
 
Back
Top Bottom