nzalendo
Platinum Member
- May 26, 2009
- 13,085
- 15,197
So inasaidieje kupunguza umaskini na ufisadi? Hangaika na vitu vya maana
Aliyeandaa huu Uzi ni mbaguzi (racist) na mtu wa hivi kuishika Imani inakuwa vigumu. Wahusika wakubwa wengi wakubwa kibiblia walitokea middle east (Asia) lakini sijawai kusikia wazungu ulaya wakilia eti YESU muitaliano nk
Kwaufupi,mtu anayefanya jambo kubwa la manufaa hamuna aja ya kuzingira origin yake
Mwisho utamtafutia YESU origin yake wakati as we speak ni Mungu hamuna Cha ametokea wapi
ACHA UBAGUZI
Hata wakiwa wazaramo itakusaidia nini?
Kutoka kabila gani?YESU alikuwa mweusi sio Mzungu kuabudu Wazungu ni upumbavu wa mweusi 👈
Wewe pia mbaguzi tu (racist)YESU alikuwa mweusi sio Mzungu kuabudu Wazungu ni upumbavu wa mweusi 👈
namba 3..LawiWaafrika kwa kulazimisha kufit kwenye tamaduni za Kizungu
1. Reuben
2. Simeoni
3. Lawi
4.Yuda
5.Isakari
6.Zabuloni
7. Yusuph
8. Danni
9. Naftali
10. Gadi
11. Asheri
12. Benjamin
Katika haya majina 12 nioneshe jina hata moja la Kibantu, Ki-nilote, Ki-cushite au Kivuna/Kisanifu
HUO ni UBAGUZI na atheism vinawasumbua nyie. Kwani simu unayotumia Ina jina gani? Kama ukoo wenu mzima hakuna aliyefanya jambo la maana utaona vema kumuita mtoto jina la yeyote?namba 3..Lawi
Bwana wee, hao watu kwenye story za Middle East sio WaafrikaHUO ni UBAGUZI na atheism vinawasumbua nyie. Kwani simu unayotumia Ina jina gani? Kama ukoo wenu mzima hakuna aliyefanya jambo la maana utaona vema kumuita mtoto jina la yeyote?
Acheni kutumia UBAGUZI