Watoto 12 wa YAKOBO ni WAAFRIKA....siri imefichuka,,,,,,

Huo ndio ukweli

Sema ngozi nyeusi ni wepesi kununulika mmenunuliwa na kuuza nafasi zenu Kwa watu weupe, M/Mungu ajakataza biashara so aliruhusu biashara na ninyi watu weusi mmeuza nafasi zenu na weupe wamechukua nafasi zenu

Mmeuza kila kitu, weledi, uelewa,akili,nyadhifa,maarifa, mafanikio, kila kitu wamechukua weupe kutokana na tamaa zetu sisi wenyewe Leo hii mtu mweusi hawezi hata kuunda ndege vyote vizuri anaunda mzungu , tumekuwa wajinga wakupitiliza
 
Bwana wee, hao watu kwenye story za Middle East sio Waafrika
Wewe ndio mbaguzi, unajaribu kuwanyang'anya watu wa Middle East story zao na kuimilikisha kwenye jamii yako
Kabla ya kutawanyika kuja huku sub sahara waafrika walikuwa hapohapo middle east,,,,,,kwa kuongezea hata Masai pia ni Walawi na zile ng'ombe zao ni sadaka walizokuwa wanapokea...na hakika mpaka leo masai original hashiki maiti kwani wao ni makuhani....
 
Hii ni laana
Mungu ameruhusu itupige sababu tumeacha kushika Torati ya Ibrahim Isaka na Yakobo.
 
Bwana wee, hao watu kwenye story za Middle East sio Waafrika
Wewe ndio mbaguzi, unajaribu kuwanyang'anya watu wa Middle East story zao na kuimilikisha kwenye jamii yako
Kabla ya kutawanyika kuja huku sub sahara waafrika walikuwa hapohapo middle east,,,,,,kwa kuongezea hata Masai pia ni Walawi ni zile ng'ombe zao ni sadaka walizokuwa wanapokea...na hakika mpaka leo masai original hashiki maiti kwani wao ni makuhani....
 
Kabla ya kutawanyika kuja huku sub sahara waafrika walikuwa hapohapo middle east,,,,,,kwa kuongezea hata Masai pia ni Walawi na zile ng'ombe zao ni sadaka walizokuwa wanapokea...na hakika mpaka leo masai original hashiki maiti kwani wao ni makuhani....
Uongo
 
Back
Top Bottom