Watoto 12 wa YAKOBO ni WAAFRIKA....siri imefichuka,,,,,,

Aliyeandaa huu Uzi ni mbaguzi (racist) na mtu wa hivi kuishika Imani inakuwa vigumu. Wahusika wakubwa wengi wakubwa kibiblia walitokea middle east (Asia) lakini sijawai kusikia wazungu ulaya wakilia eti YESU muitaliano nk

Kwaufupi,mtu anayefanya jambo kubwa la manufaa hamuna aja ya kuzingira origin yake

Mwisho utamtafutia YESU origin yake wakati as we speak ni Mungu hamuna Cha ametokea wapi
ACHA UBAGUZI
 

YESU alikuwa mweusi sio Mzungu kuabudu Wazungu ni upumbavu wa mweusi 👈
 
namba 3..Lawi
 
HUO ni UBAGUZI na atheism vinawasumbua nyie. Kwani simu unayotumia Ina jina gani? Kama ukoo wenu mzima hakuna aliyefanya jambo la maana utaona vema kumuita mtoto jina la yeyote?
Acheni kutumia UBAGUZI
Bwana wee, hao watu kwenye story za Middle East sio Waafrika
Wewe ndio mbaguzi, unajaribu kuwanyang'anya watu wa Middle East story zao na kuimilikisha kwenye jamii yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…