Watoto 300+ Dodoma kulishwa wali wenye virutubisho kutoka USAID

wew si historian ndio maana unamaanisha na kukielewa vyema πŸ’

hayupo kiongozi wa kisiasa TZ au Africa ataanza kubabaika na historia ati makaburu walifanya nini huko kale wakiwa wachache hali ya kua vipaumbele na mahitaji yao yalikua tofauti na sasa, hata hivyo population yao ilikua pia ilikua ni ndogo mno ukilinganisha na ilivyo sasa πŸ’

malengo ya makaburu ilikua ni kujinufaisha wao na wenye rangi kama zao. haiwezekani tukaiga, upendeleo na ubaguzi hata siku moja πŸ’

TZ na Africa,
mipango, mikakati, dira na uelekeo ni katika kuhakikisha kila jambo linalofanywa na serikali za nchi mbalimbali, zinalenga kuimarisha Amani, utulivu, umoja na mshikamano wa kitaifa na kisha kazi za maendeleo kwa maslahi mapana ya wananchi wote πŸ’
 
Unalopaswa kulijua, Ngozi Nyeupe haikutakii mema hata siku moja !! Wako kimaslahi zaidi na sio vinginevyo !!
 

Umaskini mbaya sana. Hivi mtu anaweza kuniletea unga nyumbani nikakubali? Wakati nina mikono miwili. Labda kama kuna janga la ukame
 
Hatujuagi kutafuta chanzo Cha tatizo hata siku Moja, ndomana Africa tupo hapa hapa mpaka leo. Tunatakiwa kuchimbua makaburi yote na kukusanya data zatulipotoka tupate mwanga na mwelekeo wa tunapokwenda. Lazivo turaendelea kuburuzwa hapa hapa.
 
Ata miss world alionyesha dunia jinsi watoto wa kitanzania wanavyokaa shuleni kutwa bila kula chochote.
VX Moja inaweza kulisha watoto wangapi? Siku za nyuma kuna mtu alituma hapa ufunguzi wa darasa moja ambapo VX na magari ya kifahari yalikuwa zaidi ya 20. Hiyo hela ingewekwa kwenye irrigation schemes si tungekuwa tunavuna mpaka tunasaza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…