Inside10
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 29,909
- 32,414
are you mad?Thibitishaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
are you mad?Thibitishaa
hapa kitu kinahitajika ni uthibitisho sio maswaliare you mad?
Panda kimbinyiko njoo dom nikuthibitishiehapa kitu kinahitajika ni uthibitisho sio maswali
JingaPanda kimbinyiko njoo dom nikuthibitishie
Mkuu ikiwezekana naomba anzisha andiko fupi kuhusu hiyo issue hapa hapa JF ni tag then tujifunze na kupata uzoefu wa maisha yetu waafrika.Kuna ulazima sana kwa watawala wa kiafrika hususani watawala weusi na watu weusi (black people) kufanya kila namna wapate nakala zote za hotuba za watawala wa nchi ya Afrika ya Kusini chini ya Uongozi wa Wazungu wachache (Makaburu),. Hotuba hizo pamoja na nyaraka zingine mbalimbali za kiofisi za utawala wa Makaburu zina TAARIFA NYETI SANA na muhimu kwa watu weusi kuzijua taarifa hizo, watu weusi ni lazima tupate documents hizo na tuzisome na kuzielewa vyema kama kweli tunajitakia mema sisi pamoja na vizazi vyetu vijavyo.
Documents hizo zimekuwa zinaeleza kwa uwazi kabisa kuhusu haya mambo yanayoendelea kutokea hapa duniani, hususani kuhusu maisha ya watu weusi.
Pu.ngaJinga
Umaskini mbaya zaidi ukiwa ni umaskini wa akili na kukosa kujitambua.Wanaweza hata kupandikiza mambo ya ajabu humo kweli umasikini ni mbaya.
Serikali haina uwezo wa kugawa mchele kwa watu wote wasio na uwezo wa kununua. Huo ndio ukweliWatanzania Kuna vitu vinatia aibu sana.Hivi kweli serikali imeshindwa kutoa chakula chenye virutubisho kwa watoto,mpaka wageni waje kutusaidia.
Bure kabisa taifa hili.
Mbona chanjo, ARV na madawa mengi tu tunapewa bure?Kuna uwezebwa huo mchele na maharage siyo salama kwa hao watoto, ila watawala wanavyopenda misaada wanaona poa tu.
Weupe wana mbinu nyingi za kueneza mambo yao. Wakikwambia kwa maneno ukapotezea, wanakukamatia kwenye msosi
Sasa mpaka watufanyie hivyo ina maana kama nchi tumelala? Kumbuka tuna wasomi na vyombo mbalimbali kama TBS..NI kweli uko sahihi kwa upande fulani lakini hawa wenzetu walio endelea ndio watunga sera za kuongoza Dunia.. wanaweza fanya chochote kile kutekeleza matakwa yao.
Mkuu kama unatumia jicho LA tatu ...Uki zoom hapo utaona viroba vimeandikwa:-
"Not to be sold or exchanged"
Kwa hiyo ni lazima walengwa wale tu
At least leo umekuwa mzalendoCha kutazamwa na kuzingatiwa, watoto zao huko Marekani wanapewa chakula hicho?
Vipi ngozi nyeusi, hasa wanasiasa, wao wana nia njema na wewe au matumbo yao?Unalopaswa kulijua, Ngozi Nyeupe haikutakii mema hata siku moja !! Wako kimaslahi zaidi na sio vinginevyo !!