Watoto 78,000 wafanywa wakimbizi ndani ya wiki moja DRC

Hawana mlengo wa dini yoyote, sio kama mazombi wa dini yenu ambao hutaja alla akbar wenu kabla kuchinja watu....
😆😆😆Dini ya kugombani mali ,wamevaa misalaba hao wajinga wanaua waafrica wenzao ...kule sudan kusini ni hivyo hivyo
 
Hao si issue. Usitutoe kwenye mambo ya msingi. Kule Wayahudi wanawatesa sana wa Palestina. Tutawalaani maana wanapiga mpaka wanapitiliza sasa.
 
😆😆😆Dini ya kugombani mali ,wamevaa misalaba hao wajinga wanaua waafrica wenzao ...kule sudan kusini ni hivyo hivyo

Wale ni wezi tu kama wewe, humo wako kila aina hata hawajuani kidini, ila nyie kwenye hiyo dini ya muarabu mnaua watu eti alla akbar.
 
Hao si issue. Usitutoe kwenye mambo ya msingi. Kule Wayahudi wanawatesa sana wa Palestina. Tutawalaani maana wanapiga mpaka wanapitiliza sasa.

Kule mna bahati sio Mchina au Mrusi, angepiga mpaka mseme, kwanza Mrusi hupiga carpet bombing, bahati yenu Myahudi kiaina ana bakisha bakisha.......
Turudi huku kwa weusi wenzio, achana na Waarabu wapigwe....
 
Kwa hiyo unakiri kuwa Israel wameshindwa?
 
Genocide ndani ya DRC Congo ni mara 10 ya Gaza, lakini MSM hutosikia wakiwasemea kama wanavyofanya Gaza.
South Africa ingeanzia kutetea wakongo sio wapalestina

SA DRC inawatetea kwa videndo mwaka 2013 majeshi yake pamoja na ya tanzania ndio yaliwashinda m23

Na mwaka huu SADC : south africa malawi Tanzania ndio wako DRC!!
 
Nipeni hata watano niwalee
Umewaza mbali sana, hongera kwako
Russia alipovamia Ukraine na wananchi kukimbia makazi yao
Waingereza wengi walijitolea na kuwapokea majumbani kwao na huku serikali ikiridhia wapite mipakani na kuingia na kuchukuliwa na waliokubali kuwafadhili na kuwapa pa kulala na chakula
Wapo waliochukua familia nzima na wapo waliochukua individuals

Ila walisaidiwa sana
Sasa sisi wakija wakimbizi zaidi ya kuwaibia juu na kuwakamata kwa kusema wahamiaji haramu huku polisi wakiwapiga picha ya pamoja kama wamekama magaidi

Uwe na moyo wa hivyo, ila kwa sisi ukimuweka mmoja wanasema umehifadhi mhamiaji haramu na jela inakuhusu
 
Wale ni wezi tu kama wewe, humo wako kila aina hata hawajuani kidini, ila nyie kwenye hiyo dini ya muarabu mnaua watu eti alla akbar.
Makafiri hao ndio wasababisha wa vita ya wao kwa wao hapo congo na kule sudan kusini hata Uganda yale mauaji ya kimbari .....Kuwa makini na huo ujinga wako pumbavu.

Tena wafanye documentary plus investigative journalism uone kanisa lako lilivyokuwa na ujinga mwingi kiazi wewe😅😅
 
Unajisahaulisha...........turudi kwenye kawaida au ligi yetu ya kugawana pande

Ulikuwa kwa wanyonge wa ukraineSie tukawa kwa Mtemi rusia

Ukahamia kwa wababe Israel Sie tukawa kwa wanyonge wa hamas

Sasa mzunguko Ni Ule Ule anza kuwatetea wanyonge na Sie tutachagua wa kuwatetea

Hakuna kupangiana Hata Wewe na wenzako mnaweza kuwatetea na mkatosha Sana tuu
 
we akili huna
 
Genocide ndani ya DRC Congo ni mara 10 ya Gaza, lakini MSM hutosikia wakiwasemea kama wanavyofanya Gaza.
South Africa ingeanzia kutetea wakongo sio wapalestina
Mkuu una imani na machoko ya SA!?
 
[emoji38][emoji38][emoji38]Dini ya kugombani mali ,wamevaa misalaba hao wajinga wanaua waafrica wenzao ...kule sudan kusini ni hivyo hivyo
Sudan kusini vita imegeuka kuwa ya kidini pia,wale waislam weupe wanajaribu kufuta kizazi cha weusi ambao wengi ni christian,hali ni mbaya sana kwa kweli
 
Waafrica wenzetu hawa hakuna mwenye time nao hata hapa jukwaani hautaona hasira kama kule Gaza.
Wale wavaa kobazi Akili zao zipo makalioni kazi Yao kubwa ni kumtetea mwarabu
sasa kama wewe ni padiri nenda wewe maana ni dini yako wanauwana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…