Watoto 78,000 wafanywa wakimbizi ndani ya wiki moja DRC

Hapa shura ya maimamu tz huwezi isikia ikitoa tamko kwasababu alieguswa sio mwenyezi ktk imani
 
Genocide ndani ya DRC Congo ni mara 10 ya Gaza, lakini MSM hutosikia wakiwasemea kama wanavyofanya Gaza.
South Africa ingeanzia kutetea wakongo sio wapalestina
Vizuri Afrika Kusini wanapeleka majeshi DRC sasa! Huko yataungana ya TZ na Malawi kuwafurusha M23!
 
Wewe leo unawahurumia watoto WA kongo? Mbona wa GAZA unaona siyo haki yao kuishi.

Great thinker hatakiwi kuwa na double standard.
 
Genocide ndani ya DRC Congo ni mara 10 ya Gaza, lakini MSM hutosikia wakiwasemea kama wanavyofanya Gaza.
South Africa ingeanzia kutetea wakongo sio wapalestina
Kwani Tanzania si kuna TBC
Afrika kuna SABC, kwanini mnasubiri hadi hizo taarifa zitolewe na BBC au CCN ?
LINI WAAFRIKA MTAJIFUNZA KUWA WAWAJIBIKAJI, KUTWA KUCHA KUTAFUTA WA KUMLAUMU.

HAMJIFUNZI KWA MZEE LOWASSA KUWA WAWAJIBIKAJI ?
 
Udini umeota mizizi sana nchi za Africa,..
Afrika hakuna udini
Afrika kuna UJINGA

WAJINGA WENGI WA AFRIKA WAMEJIFUCHA KWENYE KIVULI CHA DINI.

KUNA MAJINGA UTAYAKUTA YAPO KANISANI YANAOMBEA VITA YA ISRAEL IISHE LAKINI HATA SIKU MOJA HAYAJAWAHI KUOMBEA AMANI YA congo.
 
Only the dead ones, have seen the end of war
 
Wewe leo unawahurumia watoto WA kongo? Mbona wa GAZA unaona siyo haki yao kuishi.

Great thinker hatakiwi kuwa na double standard.

Wa Kongo nawahurumia maana hawahusishwi kwenye chuki za kidini, hawachokozi yeyote, ni wakulima ambao wanaishi maisha yao vijijini wanakutwa huko na magaidi ya kiislamu inayoitwa ADF, wanachinjwa bila huruma....
Ukija Gaza, pale hata watoto wamefanywa mazombi ya kufia dini...

 
Bila anguko la Americant haya hayatokaa yaishe hata siku moja
Hv huku napo majority ni waislamu maana tunaambiwa nchi zenye waislamu wengi daima huwa na machafuko kama ilivyo kongo
Machafuko ya Congo hayana uhusiano na dini
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…