ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
Kaka sperm za mtu hazipotei bureKuna kitu watu wengi hawataki kukisikia… unaweza kuwa baba kibaiolojia lakini ukafeli kuwa baba wa mtoto wako emotionally.
tumeona kisa cha Dudubaya na mwanae Wille kinatoa somo kubwa sana. Watu wengi wanaangalia upande wa drama tu, ila nyuma yake kuna psychology nzito. Mtoto akikua bila ile bonding ya baba tangu mwanzo, akija miaka ya baadaye ghafla unataka “full respect package”, mara nyingi chemistry inakuwa forced.Ni kama mtu hakulipia membership miaka yote halafu anataka benefits zote siku moja.
Watoto hawakariri DNA sana, wanakumbuka presence.
Nani alikuwa karibu akiwa mgonjwa, nani alimjua anapenda nini, nani alikuwepo kwenye life yake wakati wa moments za msingi.nani alimpeleka shule au kumnunulia viatu.
Ndo maana unaweza kuona wille anaishi kiurahisi na marafiki au “masela wa Coco Beach” kuliko mzazi wake mwenyewe, sababu huko anahisi freedom na acceptance kuliko mazingira ya kulazimishwa mapenzi.
Halafu stress zikizidi tunaanza kuona posts za usiku za dudubaya
“Simtaki”, “sio mwanangu”me nwanangu ni maria tu..ile ni frustationna stress kutokana na kilevi na hasira.kwa sababu dudubaya kwa sasa hv ni mgonjwa ilipaswa wille kijana wake ndo akae naye hapo bahari beach.. relationship nyingi za baba na watoto haziharibiki siku 1 zinajengwa taratibu..
Hata kwa Diamond Platnumz watu wengi hujadili kuhusu baba yake. Imagine kama kungekuwa na picha nyingi za utotoni, memories, outings, bonding na presence ya karibu… labda leo hii public perception ingekuwa tofauti kabisa.
Siku hizi watu wanaona kuzaa kama achievement ya haraka.
“Kijana mzima lazima uwe na mtoto.”Lakini nobody talks kuhusu school fees, emotional support, muda, attention, na consistency.mtoto anakuwa mkubwa hajawahi kuona ukimbembeleza akiwa ana hasira au ukimpiga akiwa kakosea
Tusizae kwa pressure za sifa au kuthibitisha uwezo wetu wa mbegu ..mbegu ziko okaya muda wote as long unakula proteins..” Mtoto sio screenshot ya ushindi wa usiku mmoja. Ukifanya makosa ya bahati mbaya, usiyageuze kuwa maisha ya bahati mbaya kwa mtoto ambaye hana kosa lolote.
Mwisho wa siku mtoto anaweza kusamehe umaskin akaona sawa zamani hukuwa na hela za kumnunulia atakacho lakini ni ngumu kusahau absence yako hukuwepo akiwa under 10 years..na kama akitokea amekutafuta ukubwani basi kasikia wewe uko taasisi nzuri au una miliki migodi na hotel au umekuwa mwigulu..
zamani mzee angezaa watoto 10 kijijini maisha yanaenda tu. Shamba lipo, chakula kipo, mtoto anakua huku jamii nzima inamlea. Lakini leo hii dunia imebadilika. Mtoto wa sasa anahitaji school fees, attention, malezi, muda, afya ya akili na future plan. Ndo maana siku hizi kuzaa ovyo nje nje sio ishu tena ni kujiongezea matatizo mwisho wake unaweza kushindwa hata kujigawa.Dahh huu ujumbe mzito sana!❤️🩹
Nakubaliana nawe mkuu kuna baadhi ya cases watoto wanaweza kulishwa sumu dhidi ya mzazi mmoja, hilo lipo ila pia tusijifanye watoto wa sasa hawaoni reality za ndani ya nyumba. Wengi hasa wa kiume wanaona kabisa hata kwa mademu zao jinsi walivyo makelele, jeuri au tabia zinazochangia ndoa kuvunjika. Mtoto akifika umri fulani anaanza kuchanganua mambo mwenyewe, sio kila kitu anaaminishwa tu. Lakini pamoja na hayo yote, kuna kitu kigumu kufutika kichwani mwa mtoto nasemea ile presence ya mzazi. Majukumu, muda, upendo, zile moments za utotoni hizo hazifutwi kirahisi hata mtu asemwe vibaya kiasi gani. Ndo maana mzazi aliyekuwepo kweli mara nyingi mtoto hukua akijua tu huyu alijitahidi hata kama kulikuwa na migogoro mingi pembeni.upo sahihi ila pia umesahau khs sumu wanazolishwa watoto kutoka kwa wazazi wao hasa mama zao, hata kama upo na mwanao kila sek, mama akiamua amfanye mwanao akuchukie bc n ishu nyepesi sana.
Ulilisemea hili katika uzi mmoja kuhusu wanafunzi wa vyuo wanavyozaa na wenzao.Dahh huu ujumbe mzito sana!❤️🩹
Umenena vyema! Na kizazi cha sikuhizi kipo sensitive sana sijui kwanini, ukimtenga mtoto kidogo tu utanotice mabadiliko kama anaathirika hivi! Kwahivyo inabidi uingie gharama kumuweka katika mazingira fulani yasiyomkosesha anachokitaka! Bora uwe na mtoto mmoja wawili au unaoweza kuwamudu bila kukosa mahitaji yote uliyotaja hapo juu!zamani mzee angezaa watoto 10 kijijini maisha yanaenda tu. Shamba lipo, chakula kipo, mtoto anakua huku jamii nzima inamlea. Lakini leo hii dunia imebadilika. Mtoto wa sasa anahitaji school fees, attention, malezi, muda, afya ya akili na future plan. Ndo maana siku hizi kuzaa ovyo nje nje sio ishu tena ni kujiongezea matatizo mwisho wake unaweza kushindwa hata kujigawa.
Ndio na nilikuwa naongea kwa uchungu wananicheka wanasema raha ya ngoma waingie wacheze na wao waone sio kusimliwa tu! Nikawaacha ila kuharakia maisha matokeo yake yanaathiri mpaka vizazi vyetu!Ulilisemea hili katika uzi mmoja kuhusu wanafunzi wa vyuo wanavyozaa na wenzao.
Kuna kitu watu wengi hawataki kukisikia… unaweza kuwa baba kibaiolojia lakini ukafeli kuwa baba wa mtoto wako emotionally.
tumeona kisa cha Dudubaya na mwanae Wille kinatoa somo kubwa sana. Watu wengi wanaangalia upande wa drama tu, ila nyuma yake kuna psychology nzito. Mtoto akikua bila ile bonding ya baba tangu mwanzo, akija miaka ya baadaye ghafla unataka “full respect package”, mara nyingi chemistry inakuwa forced.Ni kama mtu hakulipia membership miaka yote halafu anataka benefits zote siku moja.
Watoto hawakariri DNA sana, wanakumbuka presence.
Nani alikuwa karibu akiwa mgonjwa, nani alimjua anapenda nini, nani alikuwepo kwenye life yake wakati wa moments za msingi.nani alimpeleka shule au kumnunulia viatu.
Ndo maana unaweza kuona wille anaishi kiurahisi na marafiki au “masela wa Coco Beach” kuliko mzazi wake mwenyewe, sababu huko anahisi freedom na acceptance kuliko mazingira ya kulazimishwa mapenzi.
Halafu stress zikizidi tunaanza kuona posts za usiku za dudubaya
“Simtaki”, “sio mwanangu”me nwanangu ni maria tu..ile ni frustationna stress kutokana na kilevi na hasira.kwa sababu dudubaya kwa sasa hv ni mgonjwa ilipaswa wille kijana wake ndo akae naye hapo bahari beach.. relationship nyingi za baba na watoto haziharibiki siku 1 zinajengwa taratibu..
Hata kwa Diamond Platnumz watu wengi hujadili kuhusu baba yake. Imagine kama kungekuwa na picha nyingi za utotoni, memories, outings, bonding na presence ya karibu… labda leo hii public perception ingekuwa tofauti kabisa.
Siku hizi watu wanaona kuzaa kama achievement ya haraka.
“Kijana mzima lazima uwe na mtoto.”Lakini nobody talks kuhusu school fees, emotional support, muda, attention, na consistency.mtoto anakuwa mkubwa hajawahi kuona ukimbembeleza akiwa ana hasira au ukimpiga akiwa kakosea
Tusizae kwa pressure za sifa au kuthibitisha uwezo wetu wa mbegu ..mbegu ziko okaya muda wote as long unakula proteins..” Mtoto sio screenshot ya ushindi wa usiku mmoja. Ukifanya makosa ya bahati mbaya, usiyageuze kuwa maisha ya bahati mbaya kwa mtoto ambaye hana kosa lolote.
Mwisho wa siku mtoto anaweza kusamehe umaskin akaona sawa zamani hukuwa na hela za kumnunulia atakacho lakini ni ngumu kusahau absence yako hukuwepo akiwa under 10 years..na kama akitokea amekutafuta ukubwani basi kasikia wewe uko taasisi nzuri au una miliki migodi na hotel au umekuwa mwigulu..
Hii anaifanya sana mwenye nyumba wnagu mmoja wa nilipokuwa naishi, na watamfuata huyo kuku kama mzazi wao mpaka mwisho sio hawa vifaranga wakikuwa wanampanda tena mzazi wao😁Sio mtoto tuu! Hata mnyama kama Mbwa, Bata, Kanga n.k.
Longtime kijijini mama yangu alikuwa, anachukua mayai ya Kanga, anawapa kuku watotoe, wakitotoa tule tutoto tunaambatana na kuku, hata kama kanga wengine wapo. Mpaka tunakua. 😁
upo sahihi ila pia umesahau khs sumu wanazolishwa watoto kutoka kwa wazazi wao hasa mama zao, hata kama upo na mwanao kila sek, mama akiamua amfanye mwanao akuchukie bc n ishu nyepesi sana.
Jumbe sahii sana. Tuishi humu.Kuna kitu watu wengi hawataki kukisikia… unaweza kuwa baba kibaiolojia lakini ukafeli kuwa baba wa mtoto wako emotionally.
tumeona kisa cha Dudubaya na mwanae Wille kinatoa somo kubwa sana. Watu wengi wanaangalia upande wa drama tu, ila nyuma yake kuna psychology nzito. Mtoto akikua bila ile bonding ya baba tangu mwanzo, akija miaka ya baadaye ghafla unataka “full respect package”, mara nyingi chemistry inakuwa forced.Ni kama mtu hakulipia membership miaka yote halafu anataka benefits zote siku moja.
Watoto hawakariri DNA sana, wanakumbuka presence.
Nani alikuwa karibu akiwa mgonjwa, nani alimjua anapenda nini, nani alikuwepo kwenye life yake wakati wa moments za msingi.nani alimpeleka shule au kumnunulia viatu.
Ndo maana unaweza kuona wille anaishi kiurahisi na marafiki au “masela wa Coco Beach” kuliko mzazi wake mwenyewe, sababu huko anahisi freedom na acceptance kuliko mazingira ya kulazimishwa mapenzi.
Halafu stress zikizidi tunaanza kuona posts za usiku za dudubaya
“Simtaki”, “sio mwanangu”me nwanangu ni maria tu..ile ni frustationna stress kutokana na kilevi na hasira.kwa sababu dudubaya kwa sasa hv ni mgonjwa ilipaswa wille kijana wake ndo akae naye hapo bahari beach.. relationship nyingi za baba na watoto haziharibiki siku 1 zinajengwa taratibu..
Hata kwa Diamond Platnumz watu wengi hujadili kuhusu baba yake. Imagine kama kungekuwa na picha nyingi za utotoni, memories, outings, bonding na presence ya karibu… labda leo hii public perception ingekuwa tofauti kabisa.
Siku hizi watu wanaona kuzaa kama achievement ya haraka.
“Kijana mzima lazima uwe na mtoto.”Lakini nobody talks kuhusu school fees, emotional support, muda, attention, na consistency.mtoto anakuwa mkubwa hajawahi kuona ukimbembeleza akiwa ana hasira au ukimpiga akiwa kakosea
Tusizae kwa pressure za sifa au kuthibitisha uwezo wetu wa mbegu ..mbegu ziko okaya muda wote as long unakula proteins..” Mtoto sio screenshot ya ushindi wa usiku mmoja. Ukifanya makosa ya bahati mbaya, usiyageuze kuwa maisha ya bahati mbaya kwa mtoto ambaye hana kosa lolote.
Mwisho wa siku mtoto anaweza kusamehe umaskin akaona sawa zamani hukuwa na hela za kumnunulia atakacho lakini ni ngumu kusahau absence yako hukuwepo akiwa under 10 years..na kama akitokea amekutafuta ukubwani basi kasikia wewe uko taasisi nzuri au una miliki migodi na hotel au umekuwa mwigulu..
Bc hujui sumu ya mama wwMbaga, mtoto ni binadamu, ukimpenda na mrija wako ukamfikia hata kama kuna uhasama, wewe na mama yake.
Mtoto yule atajua, sabuni hii imwtoka kwa baba, uniform hii kaleta baba.
Hela hii ameleta baba. Hiyo ndio bond ya mzazi na mtoto, inavyojengwa.
Kumbukeni mtoto anazaliwa kama daftari jipya, wa kuchora au kuandika kitu ni wewe mzazi. Usipochora au andika kitu, maana yake haupo. Na yeye hawezi tunza kitu ambacho hakipo.